Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kibongobongo ana uhuru wa kusema ila ahakikishiwi uhuru baada ya kusema.Alikuwa sahihi kusema, kusema ni haki yake ya kikatiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibongobongo ana uhuru wa kusema ila ahakikishiwi uhuru baada ya kusema.Alikuwa sahihi kusema, kusema ni haki yake ya kikatiba.
Yeye hayupo Sasa vipo viatu vyakeSerikali Ninayoiongoza Haijaribiwi
By Mzilankende
Mark my word..atateuliwa kwenye kamati ya uhamasishaji wa hiyo michango. nipo paleee..
Mpaka wakachanga ina maana wanamfahamu na wanamuamini kuliko serikali
Nigger anajua Waziri Mkuu ni sawa na Steve Mengele?Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini
Niffer anacheo Gani uko dar na ni mwana CCM au ...
Huyu dada amekurupuka, hakutakiwa kujibu kwenye social media.Strong army in between
Unaandika bila kuhariri na simu zetu hizi za mchina kweli!Serikali ijuandae na bomu la hawa watu wenye wafuadi wengi mitandaoni ! Jana mm nikuwa nafuatilus hiyo michango....niliogopa ya Mamilioni yalikussnywa ndani ya muda mfupi!
Ila hata iweje huyu mtoto' anawafuadi! Kuna siku niliona wkisjangilua comment ya RAIS SAMIA kwenye Insta page yake wkimpongexs!...niidhie hapo😁
Amle tena!Sipendi kuingilia hilo suala la huyo mwanamke kuchangisha pesa , pia nisingependa kujadili legality ya order ya PM ya kumkamata huyo dada lakini nachojua hiyo anatembeza mbunye kwa watu wenye nguvu pia Majaliwa hajawahi hata siku moja kutoa amri ikatekelezwa haijawahi kutokea. Jamaa huwa anakuwa kama mpiga ramli tu sanasana anataka wamsumbue tu binti wa watu kuzuia akaunti zake mpaka amle.
Atajua hajui hajui kitu kinaitwa mamlaka wanafikiri nchi inajiendea endea tu...!Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini
Hadi anakuwa baltazar wa kikeTena akiwa na Tako kubwa lazima awe na kiburi. Maana wanaitembeza K kweli kweli, kuanzia kwa matajiri, viongozi wa kisiasa, watoto wa watu wazito, watu wa ikulu wanapewa Tako walienjoy, viongozi wa usalama/polisi/jeshi, viongozi wa kidini, mpaka wanapewa wachawi.
Wanajiona wao ndio wao 🤣