Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Haupendi vipi wakati tayari umeonesha upo upande upi!

Mi' mtu aki sympathize na tapeli, kuelekeza mbinu za kujinasua kisheria, pamoja na pyepyepye zingine za mfano huo, hata kama alikuwa kwenye hadhi ya watu ninaowaheshimu sana, hujikuta namuondoa kwenye hadhi hiyo na kisha kumdharau sana.
 
Huyo Binti hiyo biashara anayofanya ni gelesha, ameshatapeli watu kwenye kuagiza mizigo china, pia akiishiwa pesa anaanza kukusanya michango ya watoto yatima. Wewe mtu anaenda china yeye na boyfriend wake, anakaaga huko mwezi, pesa anatoa wapi? Ndo Kwa biashara ya vipodozi? Au nguo , nauli tungi and return almost Dola 3000 za kimarekani
 
Ana kitu chema huyu

I see a star
 
Ni kosa kutokujua sheria,au hafahamu
 
Kuna wadau wanadai anagongwa na mtu mzito, sasa mtu mzito kwa cheo ambae ni boss wa PM ni rais wa JMT na rais wetu ni mwanamke sasa kiburi kinatoka wapi? maana wote jinsia mmoja au mi kichwa changu ndio box? maana maruerue tu.
Chalamila ndiyo anakula mzigo itakua,maana hata kwenye utetezi wake ana mtaja Chalamila kama reference yake ya kuvunja sheria kua chala alikua anajua kua anachangisha!! Sasa Chala mwenyewe yuko kimya!!
 
Ukiwa kiongozi ukawa na tabia za baltzari ndo matokeo yake.
Nifa anamfananisha Waziri mkuu na madanga yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…