Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga ujinga tu...Ujinga tu hamna lingine zaidi ya ujinga ujinga. Ni kajinga.
Ni kajinga ila hii nchi ujinga ujinga unaweza kukupa umaarufu na pesa.Ujinga ujinga tu...
View attachment 3155751
Haupendi vipi wakati tayari umeonesha upo upande upi!Sipendi kuingilia hilo suala la huyo mwanamke kuchangisha pesa , pia nisingependa kujadili legality ya order ya PM ya kumkamata huyo dada lakini nachojua hiyo anatembeza mbunye kwa watu wenye nguvu pia Majaliwa hajawahi hata siku moja kutoa amri ikatekelezwa haijawahi kutokea. Jamaa huwa anakuwa kama mpiga ramli tu sanasana anataka wamsumbue tu binti wa watu kuzuia akaunti zake mpaka amle.
Ana kitu chema huyuJe, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini
Kuna sheria inayokataza, period.Waziri Mkuu anatengewa bajeti ya majanga kila mwaka, je imeonekana ikifanya lolote? Kama imepwaya kuna ubaya gani wafanyabiashara wakichangishana ili kuokoa jahazi na wenye bajeti wabakie na aibu yao?
Umewaza kama mimi😅Huyu Nifta nilidhani ni nifah wa humu jf
Wachawi ndio wasafisha nyota na kuongeza mvuto wa kuvutia masponsa.Mmh, wachawi hamna bhana..
HajuiKutojua Sheria hakukufanyi kuwa Salama
Ni kosa kutokujua sheria,au hafahamuJe, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini
Chalamila ndiyo anakula mzigo itakua,maana hata kwenye utetezi wake ana mtaja Chalamila kama reference yake ya kuvunja sheria kua chala alikua anajua kua anachangisha!! Sasa Chala mwenyewe yuko kimya!!Kuna wadau wanadai anagongwa na mtu mzito, sasa mtu mzito kwa cheo ambae ni boss wa PM ni rais wa JMT na rais wetu ni mwanamke sasa kiburi kinatoka wapi? maana wote jinsia mmoja au mi kichwa changu ndio box? maana maruerue tu.
Si wanasema Ngoma ya chalamilaUkiwa kiongozi ukawa na tabia za baltzari ndo matokeo yake.
Nifa anamfananisha Waziri mkuu na madanga yake