Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Hahaaa. Nimecheka sana mkuu.Aise pole Sana
Mkuu uko serious or unatutania tu?Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake? Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani. Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Bora tu ucheke mkuu maana ni kichekesho
Duh! Pole tena? 😅Aise pole Sana
Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani. Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Kwa kweli anatakiwa kupewa poleAise pole Sana
Serious kabisa. Nimekaa nikawaza tuMkuu uko serious or unatutania tu?
Jiweke kwenye hiyo nafasi. Unapata picha gani akilini?Daaah, kwahiyo ameona picha yako ukiwa mdogo ?
Sidhani kama kuna tatizo lolote, ni sehemu ya historia tu.Serious kabisa. Nimekaa nikawaza tu
Hakuna cha ajabu mkuu. Nina picha za Mshua tokea akiwa mchanga hadi utu uzima wake.Jiweke kwenye hiyo nafasi. Unapata picha gani akilini?
Hii ipo straight ama inahitaji kupembua kupata ujumbe kusudiwa??Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani. Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Dah watu mnamasihara😀😀Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani. Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Nmeshampa anachostahiliKwa kweli anatakiwa kupewa pole
Hoja fikirishi, ndani yake kuna utunduiziUnakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani. Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Ndio pole sanaDuh! Pole tena? 😅