Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #101
Kumbe watu mna majeraha namna hii?Sioni tatizo lolote hapo,picha zangu mi sasa hivi za utotoni nazitafuta sizipati maza alichoma moto kwa ajili ya mdingi tulipiga nae pichaš„².
Sasa hamna kumbukumbu wala lolote.
Zile picha ningejivunia leo kwamba niliishi maisha bora kabla kizungumkuti dingi alipokufa.