Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

Mtoto anajua kuwa binadamu kuna muda anakuwa uchi. Akiona uchi wa mzazi inakuwaje? Mtoto anajua watu hufanyaa ngono. Akiona mzazi anashiriki inakuwaje? Kadhalika mtoto anajua watoto huzaliwa, ila mara nyingi hawafikirii utoto wa wazazi wao. Ndio maana picha za ukutani huwa ni za utu uzima au mafanikio fulani (cheo, elimu, n.k). Imeshawahi kutokea ukutani ikawepo picha ya utotoni ya baba na ya mtoto pembeni?
 
Kuna jamaa yangu aliona picha yake baba ake akiwa naked kabisa . By that baba ake alikuwa mdogo kama miaka 4 hivi..

Sasa sijui kwann wazazi wake walimpiga hiyo picha
 
do! mjini kugumu sana!
wakati wengine tunatafuta picha cha baba zetu na tena ikiwezekana zile alizopiga na washkaji zake wa enzi hizo ili tupate stori zitakazo weza kupunguza maumivu ya sukari na pressure na kuleta nafuu fulani wengine mnataka kuzificha!
hizi picha ni muhimu sana na zinaweza kutumika vizuri sana kukumbuka wakati wa majonzi na kutengeneza furaha kwa watoto wasipite hali hiyo uliyopitia.
mfano unaweza kuwaambia kipindi hicho nilikuwa nabeba kuni na ilikuwa kawaida tu! hivyo wajitahidi gas isikauke nyumbani kwao wasije wakapikia kuni na kwa sasa watu wakawacheka hivyo watafute hela!
 
Kuna jamaa yangu aliona picha yake baba ake akiwa naked kabisa . By that baba ake alikuwa mdogo kama miaka 4 hivi..

Sasa sijui kwann wazazi wake walimpiga hiyo picha
Yah, scenario kama hizo. Mtoto anamuona mzazi wake enzi hizo akiwa mdogo na yuko uchi
 
Nikisoma mawazo ya mtoa mada, yananambia Mtoa mada ni Binadamu wa kale, walioishi zamani...!

Na kizazi chao hakipo sasa hivi.
 
Nawapa udadisi. Kama mnazo picha hizo (chini ya miaka 4) waonuesheni watoto wenu kisha watazameni na muwaulize wanachofikiria. Binafsi sio kama yamenikuta ila nimewaza tu. Kuna mipaka na picha fulani fulani hasa za utoto na ujana pia wanao wasizione
 
Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani.

Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Picha
 
IMG_2938.jpg
 
Back
Top Bottom