Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kuna picha moja nikiwa na miaka kama miwili hivi ilipigwa 1991 nimevaa suti nimejikojolea af nalia sura imekunjamana.
Wanangu siki wameiona walicheka sanaaaaa....yan walicheka ..but hakuna changes zozote katika mahusiano na namna wanavyonichukulia kulinga na msingi wa kwajengea nidhamu uliotumika