Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

Kumbe watu mna majeraha namna hii?
 
Sasa wewe kwa umri wa miaka 15 kwani yeye hajui kuwa wewe uliwahi kuzaliwa, ukawa toddler, mtoto wa miaka 6 ukawa mpaka teeneger kama yeye hadi aone picha yako ulipokuwa mdogo ndiyo ajue kuwa na wewe uliwahi kuwa mdogo???!!!
 
Kuona na kujua kuna hali mbili tofauti
 
Kumbe watu mna majeraha namna hii?
Mkuu dada mkubwa ndo alinishtua picha zote zimepigwa kiberiti.
Tumepiga family nzima nikiwa kuanzia miaka miwili.
Mdingi alipodondoka basi maza kachoma moto kila kitu chake.
Ukimuuliza anasema hataki kumbukumbu🄲
 
Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani.

Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Cha ajabu ni nini hapo? We unadhani huyo mtoto anaamini wewe baba ulizaliwa ukiwa mtu mzima?
 
Duuuh poleeee
 
Mkuu dada mkubwa ndo alinishtua picha zote zimepigwa kiberiti.
Tumepiga family nzima nikiwa kuanzia miaka miwili.
Mdingi alipodondoka basi maza kachoma moto kila kitu chake.
Ukimuuliza anasema hataki kumbukumbu🄲
Dah! So sad. Kuna uwezekano wazazi wenu walipitia kipindi kigumu sana cha mahusiano.
 
Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani.

Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?

Dah! Mkuu mbona uko serious sana.

Uko sawa kweli..!?
 
Aiseee
 
Kwahiyo mkuu, ukifika nyumbani kuna watu wanakuita baba na wanakupa shkamoo unaitikia?

Kweli mjinga nae huzeeka.
Sasa kuna shida gani wewe kuonekana ulikua mdogo? Ndo nyie mnataka kila mnakopita watu wainame
Kuwasujudu
 
Dah! So sad. Kuna uwezekano wazazi wenu walipitia kipindi kigumu sana cha mahusiano.
Dingi alikua mtu wa kuchepuka sana hata ajali kapata anaenda kwa mchepuko maza
mlokole kabisa.
Tabu ilianzia hapo
 
Kwahiyo mkuu, ukifika nyumbani kuna watu wanakuita baba na wanakupa shkamoo unaitikia?

Kweli mjinga nae huzeeka.
Sasa kuna shida gani wewe kuonekana ulikua mdogo? Ndo nyie mnataka kila mnakopita watu wainame
Kuwasujudu
Hujalazimishwa kuweka maoni yako ndugu. Una hasira za ndani inaonekana. Tafuta mshauri
 
Single man mkuu yaani, ni hapa pale natimua nilioa mara moja tu basi mbususu zipo tu mtaani.
Kuna wakati itafika utahitaji familia thabiti ndugu. Amini hivyo. Ni vyema basi kuanzia sasa ukaanza kufanyia kazi hili maana hao wa mitaani ni wa kupita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…