Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Cha msingi mle mshibe bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eehh.. Naharibu haribu mwenzangu wee, maana siwezi kukarangiza kama anavyokarangizaga mwenyewe mwenye jiko lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha msingi mle mshibe bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eehh.. Naharibu haribu mwenzangu wee, maana siwezi kukarangiza kama anavyokarangizaga mwenyewe mwenye jiko lake.
Ndio uelewe kwamba hiyo si kazi yako. Umekiri mwenyeweEehh.. Naharibu haribu mwenzangu wee, maana siwezi kukarangiza kama anavyokarangizaga mwenyewe mwenye jiko lake.
Eehh.. Maana ule mchezo unahitaji shibe, sio mie mizuka ishapanda nimemkunja mtoto wa watu aanze kulalamika njaa, au akimaliza anaanza kuagiza chipsi, kikipungua tumboni kipo kwenye sufuria, hakuna kisingizio[emoji23]Cha msingi mle mshibe bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unashibaje chakuka hakina hadhi??Cha msingi mle mshibe bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeye kujua kupika kuliko mimi haimaanishi ile ni kazi yake.Ndio uelewe kwamba hiyo si kazi yako. Umekiri mwenyewe
Tumbo likijaa ndio kushiba kwenyewe huko. [emoji23]Unashibaje chakuka hakina hadhi??
Ukifika nyumbani make it a litle Palace
Namna hiyo bwana, maisha rahiiisi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eehh.. Maana ule mchezo unahitaji shibe, sio mie mizuka ishapanda nimemkunja mtoto wa watu aanze kulalamika njaa, au akimaliza anaanza kuagiza chipsi, kikipungua tumboni kipo kwenye sufuria, hakuna kisingizio[emoji23]
Aaah acha complications mkuu, palace ni vile unaiweka wewe.Unashibaje chakuka hakina hadhi??
Ukifika nyumbani make it a litle Palace
Anaepika na asiyepika wewe unampenda nani?Alete hela, kupika iwe kwa kupenda kwake
Yoyote sawa tu cha muhimu atimize wajibu wake kama mume.Anaepika na asiyepika wewe unampenda nani?
Sitomroga wala nini atapika KWA mahaba yake tu[emoji16]Kudadadeki,utamroga kwa limbwata au??.
Tumewasiliana vyema sana. Kuna wadau wanataka kujua vipi na Chapati huwa unamsaidia pia wife wako. Vipi kukuna nazi?
Tunafanyaga hivyo vyote pale tunapotakaga kuCHEAT.Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo.
Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki?
Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii??
Tulikubaliana kazi ya mwanaume ni kuhakikisha unawaza kununua ndege, treni, kumiliki makampuni makubwa ya biashara, Kuiangusha Urusi.
Na mwisho kabisa kazi muhimu baada ya hayo ni kutoa kichapo kitakatifu kwa mama watoto mpaka anasema kweli hapa nina mwanaume.
Yangu ni hayo tu.
Sasa kama vyote hivyo ulivyosema hafanyi kwa nini asipikeJamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo.
Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki?
Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii??
Tulikubaliana kazi ya mwanaume ni kuhakikisha unawaza kununua ndege, treni, kumiliki makampuni makubwa ya biashara, Kuiangusha Urusi.
Na mwisho kabisa kazi muhimu baada ya hayo ni kutoa kichapo kitakatifu kwa mama watoto mpaka anasema kweli hapa nina mwanaume.
Yangu ni hayo tu.
Ahaaa kumbe basi sawa. Huyo tuta mremove kwenye group la wanaumeSasa kama vyote hivyo ulivyosema hafanyi kwa nini asipike
🤣🤣🤣au kama ulikamatwa unataka kusamehewaTunafanyaga hivyo vyote pale tunapotakaga kuCHEAT.
hahaha trueWale wanangu msio pika hongereni sana huo ndio uanaume na nyie wanaojifanya mahaba niue endeleeni kuwapikia wake zenu mnachokitafuta mtakipata mwanamke hajawahi kuwa na huruma na mwanaume imeubwa hvyo na usikute anawahadithia wenzake huko nje unavyotoa vitu quality jikoni awe kachoka katoka kazini au yupo nyumbani kupika atapika tu bora mtu ule kwa mama ntilie kuliko kupika.
NB:Mwanaume kupika huo ni ubwege ngoja siku waje wageni akuletee nazi ukune na umsaidie kukata kabichi kama unaona mwanaume kupika ni sawa.
hahaha sawaAaah acha complications mkuu, palace ni vile unaiweka wewe.