Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Eehh.. Maana ule mchezo unahitaji shibe, sio mie mizuka ishapanda nimemkunja mtoto wa watu aanze kulalamika njaa, au akimaliza anaanza kuagiza chipsi, kikipungua tumboni kipo kwenye sufuria, hakuna kisingizio[emoji23]
Kwanza hawa wananjaa kila wakati
 
Kwanza hawa wananjaa kila wakati
Acha wasikie njaa, ile shughuli tunayopiga pale juu si mchezo kaka, we fikiria ukikwea juu ukazipata 2,3 za kibabe yaani, moaka jasho la mstari wa ikweta, piga mahesabu mwenzio anavyozipata 7,8.. Inafika hatua hata nguvu ya kunyenyua mkono hana, viumbe vile nasi tunavichakazaga[emoji23][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣we mhuni sana
 
Hiyo jamii ikishasema nini kinatokea? Inakupa hela kulipa bills zako na familia?
Na hizo pesa unazotafuta wewe unazipata kutoka nyumbani kwako au kutokana na wanajamii wanaokuzunguka?
 
Unakuta zee zima na likitambi lake eti liko jikoni linakalangiza misosomolo.
Sifanyi huo ujinga asee
 
Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo.

Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii?

Tulikubaliana kazi ya mwanaume ni kuhakikisha unawaza kununua ndege, treni, kumiliki makampuni makubwa ya biashara, Kuiangusha Urusi. Na mwisho kabisa kazi muhimu baada ya hayo ni kutoa kichapo kitakatifu kwa mama watoto mpaka anasema kweli hapa nina mwanaume.

Yangu ni hayo tu.
Mimi siku nikitaka kutoa kichapo huwa nampikia chakula kizuri na kumwogesha, kumpaka mafuta halafu baada ya kichapo suala na poda na wanja namwachia mwenyewe.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Unakuta zee zima na likitambi lake eti liko jikoni linakalangiza misosomolo.
Sifanyi huo ujinga asee
🤣🤣🤣kazi kweli kweli. Mara nyingi haya mazee yaliyooa watoto wadogo wananyanyaswa sana. Hayafanyi kwa mahaba.
 
Yananyanyaswa hatari..kuna limoja ni lijirani langu hapa mtaani,kila jioni unalikuta liko kibalazani eti linachambua mchicha na mke wake. Unajiuliza haya ni mapenzi au uzezeta tu.
 
Hamnaga mapenzi hapo.
 
Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo.

Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii?

Tulikubaliana kazi ya mwanaume ni kuhakikisha unawaza kununua ndege, treni, kumiliki makampuni makubwa ya biashara, Kuiangusha Urusi. Na mwisho kabisa kazi muhimu baada ya hayo ni kutoa kichapo kitakatifu kwa mama watoto mpaka anasema kweli hapa nina mwanaume.

Yangu ni hayo tu.
Wanaume wengi nguvu zao za kiume zimepungua, acha tu wapike mkuu!
 
Nyie mkubaliane msikubaliane mimi hayanihusu, ila ni hivi sisi kwetu tumefundishwa kupika tangu nina miaka 8 hivyo basi hata niwe na wake 10 lazima niingie jikoni sometimes nipike. In short napenda kupika hadi mke wangu anatabasam mwenyewe anasifia mmewangu unajua kupika [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hahahaahaaa
Hizi sifa za kijinga! Mzazi Bora hawezi kuwa sirious kufundisha mtoto wake wa kiume kupika!
Kupika sio msingi wa maisha wa mwanamume! Hakuna mwanamume atakufa njaa kisa Hana ujuzi wa mapishi
 
Back
Top Bottom