Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Cha msingi mle mshibe bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eehh.. Maana ule mchezo unahitaji shibe, sio mie mizuka ishapanda nimemkunja mtoto wa watu aanze kulalamika njaa, au akimaliza anaanza kuagiza chipsi, kikipungua tumboni kipo kwenye sufuria, hakuna kisingizio[emoji23]
 
Ndio uelewe kwamba hiyo si kazi yako. Umekiri mwenyewe
Yeye kujua kupika kuliko mimi haimaanishi ile ni kazi yake.

Kakulia kwenye utamaduni huo mwanamke lake jiko, mimi sijui kupika sababu nilikulia katika mazingira ambayo mimi kuingia jikoni haiwezekani hata kwa bahati mbaya.
 
Eehh.. Maana ule mchezo unahitaji shibe, sio mie mizuka ishapanda nimemkunja mtoto wa watu aanze kulalamika njaa, au akimaliza anaanza kuagiza chipsi, kikipungua tumboni kipo kwenye sufuria, hakuna kisingizio[emoji23]
Namna hiyo bwana, maisha rahiiisi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tumewasiliana vyema sana. Kuna wadau wanataka kujua vipi na Chapati huwa unamsaidia pia wife wako. Vipi kukuna nazi?

Mimi mtu wa bara haya mapishi mengine siyajui najua vitu basic zaidi kama ugali n.k

Unaona ajabu kwa vile unavyo perceive
 
Wale wanangu msio pika hongereni sana huo ndio uanaume na nyie wanaojifanya mahaba niue endeleeni kuwapikia wake zenu mnachokitafuta mtakipata mwanamke hajawahi kuwa na huruma na mwanaume imeubwa hvyo na usikute anawahadithia wenzake huko nje unavyotoa vitu quality jikoni awe kachoka katoka kazini au yupo nyumbani kupika atapika tu bora mtu ule kwa mama ntilie kuliko kupika.

NB:Mwanaume kupika huo ni ubwege ngoja siku waje wageni akuletee nazi ukune na umsaidie kukata kabichi kama unaona mwanaume kupika ni sawa.
 
Tunafanyaga hivyo vyote pale tunapotakaga kuCHEAT.
 
Sasa kama vyote hivyo ulivyosema hafanyi kwa nini asipike
 
hahaha true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…