Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Eehh.. Maana ule mchezo unahitaji shibe, sio mie mizuka ishapanda nimemkunja mtoto wa watu aanze kulalamika njaa, au akimaliza anaanza kuagiza chipsi, kikipungua tumboni kipo kwenye sufuria, hakuna kisingizio[emoji23]
Kwanza hawa wananjaa kila wakati
 
Kwanza hawa wananjaa kila wakati
Acha wasikie njaa, ile shughuli tunayopiga pale juu si mchezo kaka, we fikiria ukikwea juu ukazipata 2,3 za kibabe yaani, moaka jasho la mstari wa ikweta, piga mahesabu mwenzio anavyozipata 7,8.. Inafika hatua hata nguvu ya kunyenyua mkono hana, viumbe vile nasi tunavichakazaga[emoji23][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣we mhuni sana
 
Hiyo jamii ikishasema nini kinatokea? Inakupa hela kulipa bills zako na familia?
Na hizo pesa unazotafuta wewe unazipata kutoka nyumbani kwako au kutokana na wanajamii wanaokuzunguka?
 
Unakuta zee zima na likitambi lake eti liko jikoni linakalangiza misosomolo.
Sifanyi huo ujinga asee
 
Mimi siku nikitaka kutoa kichapo huwa nampikia chakula kizuri na kumwogesha, kumpaka mafuta halafu baada ya kichapo suala na poda na wanja namwachia mwenyewe.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Unakuta zee zima na likitambi lake eti liko jikoni linakalangiza misosomolo.
Sifanyi huo ujinga asee
🤣🤣🤣kazi kweli kweli. Mara nyingi haya mazee yaliyooa watoto wadogo wananyanyaswa sana. Hayafanyi kwa mahaba.
 
🤣🤣🤣kazi kweli kweli. Mara nyingi haya mazee yaliyooa watoto wadogo wananyanyaswa sana. Hayafanyi kwa mahaba.
Yananyanyaswa hatari..kuna limoja ni lijirani langu hapa mtaani,kila jioni unalikuta liko kibalazani eti linachambua mchicha na mke wake. Unajiuliza haya ni mapenzi au uzezeta tu.
 
Yananyanyaswa hatari..kuna limoja ni lijirani langu hapa mtaani,kila jioni unalikuta liko kibalazani eti linachambua mchicha na mke wake. Unajiuliza haya ni mapenzi au uzezeta tu.
Hamnaga mapenzi hapo.
 
Wanaume wengi nguvu zao za kiume zimepungua, acha tu wapike mkuu!
 
Hahahaahaaa
Hizi sifa za kijinga! Mzazi Bora hawezi kuwa sirious kufundisha mtoto wake wa kiume kupika!
Kupika sio msingi wa maisha wa mwanamume! Hakuna mwanamume atakufa njaa kisa Hana ujuzi wa mapishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…