Ni sahihi kwa mwanaume kutongoza mwanamke kwa kutumia Pesa?

Ni sahihi kwa mwanaume kutongoza mwanamke kwa kutumia Pesa?

Yes show off au pesa ni Kama uchambo kwa samaki halafu mnataka mtongozwe vipi?
Tukija haraka haraka mnatupandisha juu chini,zikitumika njia shirikishi mnaleta maneno....

sio kila anaefanya hivyo ni show off,wengine ni maisha yao ya kila siku
 
si mnataka wenyewe na mfumo ushakubalika kwa wanaume hauoni ata wasanii wanavyoonga magari kupata mademu,na unaambiwa bila pesa haulambi kitu ,africa shida sana
 
Ni sahihi na ni njia ya haraka na ya uhakika yakufikia makubaliano chanya , hapo kwenye kupenda ni mchakato mwingine na inategemeana na mambo mengi
Hakika wew ni professor wa masuala ya kijamii hususani mahusiano ,nyege mshindo na maisha kwa ujumla..umefafanua kwa weledi na utashi uliotukuka..!
 
Hao wanakula pesa zao wangekataa wasingeendelea kutumia njia hiyo.

Kwa hiyo tusiiweke kama mwanaume ndio anakuwa wrong while mwanamke anaepokea anakuwa right. .

Kwa hiyo tukiuliza. Ni sahihi mwanaume kutumia pesa na tujiulize kwa wanawake wanaotoa miili yao kwa ajili ya pesa. Je ni sahihi

Kama sio sahihi kwa mtazamo wetu haimaaniishi sio sawa kwa biashara yao. Kwa hiyo wacha tuwaache wafu wazikane
 
Nikikumbuka miaka ile wema anang'ara mjini hapa!!...ilikuwa ni mwenye kisu kikali anakula stake wakati akina kajamba nani tunaishia kula kwa macho. Huku na kule paaaap akaishia mikononi mwa whozu. Maisha haya!!
 
Ni mwanamke gani wa sasa utampata bila kutoa pesa? Yaani ukamle hata ya sabuni usimpe? Siku hizi hakuna penzi la bure, hata kwa wanandoa kama mbumba hakuna hutapewa uroda
 
Ni mwanamke gani wa sasa utampata bila kutoa pesa? Yaani ukamle hata ya sabuni usimpe? Siku hizi hakuna penzi la bure, hata kwa wanandoa kama mbumba hakuna hutapewa uroda
sasa mtu ukiwa huna hela hata hizo hamu zinatoka wapi😀😀
 
Ni sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?

Hakuna sheria wala kanuni ya utongozaji, cha msingi ni mtongozaji atimize lengo lake
 
Back
Top Bottom