TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,869
We akija burebure utampea?Ni sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?
We akija burebure utampea?Ni sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?
We kula acha maneno bhnNi sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?
Kula hela hizo!shukuru huyo anakupa maana wengine sound kibao ukistuka umeshaliwaIla ni dharau kama anakununua
Upo sahihi sana katika hiliNi mwanamke gani wa sasa utampata bila kutoa pesa? Yaani ukamle hata ya sabuni usimpe? Siku hizi hakuna penzi la bure, hata kwa wanandoa kama mbumba hakuna hutapewa uroda