Ni sahihi kwa mwanaume kutongoza mwanamke kwa kutumia Pesa?

Ni sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?
We akija burebure utampea?
 
Zamani wenye madushe ya kujaa vema mbunyeni ndio walikuwa kimbilio kwa wanawake wengi wanataka kuridhishwa, huku wenye vidushe vidogo wakiachwa na mabwawa/mapango hayo. Siku hizi ni hela tu ndiyo inaamua upewe penzi hata kama una kibamia penzi utapewa maadamu hela ipo
 
Sijaelewa, unaomba namba halafu unaanza kutuma pesa huku ukichombeza ili akufikirie au

Unachombeza kwanza,akikukataa ndiyo unaanza kumtumia pesa ili akubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…