Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Usimshauri mtu kwa mfano wa mtu mmoja, jitaidi kuwa mchambuzi wa swala kwa kina. Ukweli dada unaweza ukaingia kwenye hiyo ndoa ikawa mbaya na yaweza ikawa nzuri yenye furaha katika maisha yako yote. Family itaenda ila itafikia sehemu itakubari matokeo. Na wewe ndio utakuwa judge wa maisha yako, uzuri hiyo ndoa unaweza ukaingia ukajaribu ndoa ukisikiliza sana ushauri na kufuata mifano ya juu juu huolewi. Kila mtu wtakwambia mbaya ila hawatoki wamo humo humo. Muombe mungu kaza roho jaribu na wewe acha kusikiliza maneno
 
ISHIA HAPO HAPO MINAOMBA USHAURI KAMA NYIE MMEIFANYA HUU UZI KUPASHANA UKIUMIA DO NOT JUDGE ME.

Mama achana na dini!

Angalia sasa,you in life turmoil because of it!

Fata akili yako!

Utapangiwaje wa kumpenda?

Jesus is stupid,Allah is stupid too....mmekasirika njooni mniue!

Hahahahaaaa
 
Wewe hufai kuwa mshauri udini unakuumiza jaribu kumpa mtu option sio kuchukulia jambo ni rahisi, dada angalia moyo wako achana na miruzi mingi
 
Pia hata katika uislam mtu wa kwanza kuuliwa sababu ya kuwa mwislam alakuwa mwanamke.Pia uislam umemempa hadhi kubwa mwanamke lakini hakuna anyejali
 
nimewaza na kila mtu hadi padri kakataa nibadili kasema Mungu hakukosea niwe mkristo na nilaana kubadili dini ya mababu zako so niko njia panda kiukweli nimechoka kabisa.
Unajua hata ungeenda kwa shekh nae angevutia upande wake, unatakiwa uweende kwa washauri walio normal kwenye swala la dini sasa wewe washauri wako wapo juu sana kiimani ni ngumu kukupa perfect ushauri.
 
Mkuu nimerudia kusema kuwa hakuna mtu ambaye anaishi kwa jinsi atakavyo,na hata hapa Tz tunaishi kwa kufuata sheria na taratibu. Lakini ajabu haugusii huko ila umeshikilia dini tu kana kwamba nje ya dini mtu anaweza kuishi atakavyo.

Sheria za nchi tulikubaliana kama watu,tukakubaliana tufuate wote kwa pamoja!Tulikaa tukazitunga sisi kwa utashi wetu kama watu huru!

Na to make it even more suitable,mnapoamua kwa pamoja mnazibadilisha any day of the week!

Sasa sheria za dini mlikubaliana kwenye bunge lipi?

Kufananisha sheria za kwenye kitabu cha dini na sheria za nchi ni ukichaa ulioje!

Vitabu vya dini vimeandikwa na some stupid individuals in the 1st century AD na kuweka uwongo eti wametumwa,with who?Bunch of old jewish dictatorial selfish men!

Choma vitabu vyote.Tuishi kwa utashi wetu wanadamu wenye akili kwa makubaliano ya pamoja kama civilized society of human beings!
 
Sasa Mkuu, hapo umesema mwenyewe kua YESU HAKUJA KUTANGUA SHERIA ZA manabii. Je mbona Mohammad hakua nabii?
Unamuaminije sheria zake, angali sio Nabii kama manabii wengine waliokuwepo zamani?.

Na pia kwanini Hamumpendi Yesu ambaye ni Mkuu zaidi?
Mkuu kwanza unatakiwa ufahamu kuwa Mohamad hakuja na jipya,alichokifanya yeye ni kuendeleza yale yaliyofundishwa na Musa na Isa,..kwa hiyo hata Muhamad hakuja kutengua sheria zilizoletwa kabla yake,..

Nani kasema waislam hawampendi Yesu,kama mwislam huwezi kuwa mwislam bila ya kumkubali Yesu na mafundisho yake, na kila waisalm wanapomtaja Yesu lazima wamuombee dua ya kumlinda huko aliko,..tunampenda Yesu kuliko wakristo,..

Waislam wanafata mafundisho ya Yesu kivitendo,mfano waislamu wanatahiriwa kama alivyotahiriwa Yesu siku nane baada ya kuzaliwa,lakini wakristo hawafanyi hivyo..

Mkuu kwanini tafauti ya Nabii na Mtume!??kwanini unasema Muhamad hakuwa Nabii
 
Unajua hata ungeenda kwa shekh nae angevutia upande wake, unatakiwa uweende kwa washauri walio normal kwenye swala la dini sasa wewe washauri wako wapo juu sana kiimani ni ngumu kukupa perfect ushauri.
Watu wanamisimamo utafikiri walishawai kumuona hata masihi, waafrika wote tumerithi dini, kwakuwa umezaliwa ma muislam unakuwa muislam na ungezaliwa na ukisto ungekuwa mkisto. Sasa hiyo imani kama umemuona yesu au muhammad umeipata wapi dada olewa, achana na maneno ya watu jaribu mwenyewe. Asikudanganye mtu.
 
Wenzetu wanatumia vibaya uhuru wa kuacha huyu na kuoa mwingine.Mi nachotambua kukwaruzana kupo tu hasa kwenye kipindi cha maisha ya wanandoa sasa wenzetu kila mkwaruzo unakimbiliwa kwenye kuachwa tu.


Mmh! Mkuu huo ushaur au ushabiki...

Hivi kama kweli mmependana kuachana kwa mambo madogo kunakujaje...

Ushauri wangu amchunguze uyo mume kama ni muislamu jina au muislamu muumini kwamaana huyo mume anayafanya yale yaliyoamlishwa na Mwenyez Mungu kama kuswali,kufunga mwez mtukufu,kutoa zaka/ kusaidia masikini na tabia yake kiujumla kama anayafanya hayo basi huyo mume ni kheri kwako hivyo ikimbilie na swala LA taraka sahau...

Ila ukibahatiaka kuolewa just play your part achana na mambo ya mashoga,uislamu umekamilika hauwitaji nyongeza so ukibatika tu kuolewa kuwa open mind kujifunza mambo yanayomuhusu mke juu ya mumewe,watoto na jamii kiujumla.

Katika uislamu hasa ktk familia kila mtu anasehemu yake ya majukumu...
Mtume amesema " Kila mtu ni mchunga na kila mchunga ataulizwa alicho kichunga"
Mume...ni mchunga wa mke wake hvyo anawajibu kumnasihi na kumlinda mke wake.
Mke....ni mchunga wa nyumba (watoto+ Mali) hivyo anawajibu kuwalea vizur watoto ktk maadili mema.
Watoto...watoto ni wachunga WA Mali zilzomo ktk nyumba kwa kuzisimamia.

Ila kuna ktu kimoja nikuambia ktk uislamu mke akifanya haya mambo basi akifa ataingia mlango wowote wa pepo aupendao na atapata kher nying apa dunia na kinyume chake maangamio apa dunia na kesho akhera.
1. Kuswali swala tano
2. Kumtii mumewe ktk mambo ya kheri
3. Kufunga mwezi mtukufu WA ramadhan
4.Kujistiri tupu zake kutokana na zinaa na matamanio.

Ukifanya hayo ktk uislamu kuachwa sahau kabisa .
 

Neno "Islam" ni neno la kiarabu maana yake ni :- kujikubalisha, kujinyenyekesha, kuitii amri na kukubali marufuku bila kupinga, na kumwabudu Mwenyezi Mungu(ALLAH) pekee..

Neno moja lina maana yote hiyo,..lugha ya kiarabu na kiyahudi hizi lugha ziko katika kikundi cha lugha "Semetic langunge",neno moja linakuwa na maana nyingi tafauti na lugha zetu na ndio maana ni tabu sana kuitafsiri Kuran na kupata maana kamili ya kilichokusudiwa,..

Na ndio maana biblia imeposhwa sana kutokana na tafsi kutoka katika lugha ya Yesu ambayo ilikuwa Armanic kwenda kigiriki kwenda kilatin,..

Armanic lugha yenye mchanganyiko wa kiarabu na kihebrew(kiyahudi)
 
Unaweza kusoma sana na usielewe vilevile, kuitafsiri Biblia sio kama usomavyo gazeti la udaku mkuu ndiyo maana tuna ambiwa tuenende katika roho si kupayuka payuka tu
Mnapoambiwa mwende kwenye roho ndio mnaambiwa msoma na kuyafata yaliyoandikwa kwenye biblia bila ya kufikiri,ufate kama anavyosema mchngaji hata kama anapotosha..

Mkuu mimi sijaongeza changu hapo nimenukuu kama biblia inavyosema sasa nimepayuka nini!??
 
Kwn kuna mungu wa kikrsto na kiislam? La muhm iman yako na matendo yako.
 
Unaonekana unakimbilia ndoani kuna nini huko?
 
well, i believe i can't make a blind see. whatever point i give you'll just keep on twisting it. May the almighty guide you to the righteous path.
(and please, you don't have to reply this, i'm tired of this argument)
 
well, i believe i can't make a blind see. whatever point i give you'll just keep on twisting it. May the almighty guide you to the righteous path.
(and please, you don't have to reply this, i'm tired of this argument)

Hahahaaa

The Almighty ani guide kwenye righteous path,maana wewe upo kwenye righteous path?

Almighty wako yupo dini gani?

Naomba nijibu please!
 

Umenikumbusha dada mmoja alitaka kutapeliwa na maaustaaz akidanganywa asaini mkataba wa kazi kumbe ni cheti cha ndoa.
 
Usikubali kubadili dini kisa ndoa INA maana mukiachana ukikutana na mkristo utabadili tens? Tafuta mkristo tena in ikiwezekana awe RC kama ww
 
Usikubali kubadili dini kisa ndoa INA maana mukiachana ukikutana na mkristo utabadili tens? Tafuta mkristo tena in ikiwezekana awe RC kama ww
yaani ukitangazaga humu watoto balaa hawaeleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…