Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Umenikumbusha dada mmoja alitaka kutapeliwa na maaustaaz akidanganywa asaini mkataba wa kazi kumbe ni cheti cha ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]makubwa alitaka kupewa mme bila ridhaa duu
 
Hayo yote uliyaandika ni ushushi tu
 
Mambo yote yameanza kutoka kwa Nabii Musa(Moses) pale alipoteremshiwa amri kumi,akashushiwa kitabu cha Taurat ..

Yesu(Isa),Mohamad
hawa wote wamekuja kuyaendeleza mafunzo ya Taurat,..hawakuja na kipya,kuna mambo yameyazisha na kuna mambo wameyapunguza kutokana na Amri ya mwenye Mungu..

Yesu(Isa) Kheri na baraka juu yake,aliwambia wanafunzi na wafuasi wake wasimfikirie kwamba kaja kubalidilisha au Sheria(taurat),bali amekuja kuzidumisha..

Matayo 5:1
7
"Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria(Taurat) aa Musa na mafundisho ya manabii.bali nimekuja kuzisisitiza"

"Do not think that I have come to abolish the Law or the Prophets; I have not come to abolish them but to fulfill them."
----------------------------*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-------------------------------
Hamna hata sehemu mujo katika comments zangu nimeandika kuhusu Tohara ya mwili,nimeandika kuhusu kukatwa govi(kutahiriwa),..,

Yesu alitahiriwa siku nane baada ya kuzaliwa,waislam wanatahiriwa vile vile,siku arobaini baada ya kuzaliwa,..Taurat(agano la zamani) sheria inasema watu wasile Nguruwe,waislam hatuli Nguruwe,wakristo nguruwe wanamshangalia...Yesu hakuwahi kula Nguruwe,wayahudi hawali nguruwe,..Taurati inasema nguruwe asiliwe.. soma

Walawi
11:1-7
"Pia nguruwe,kwa sababu ana ukwato uliopasuka naye ana mwanya kwenye ukwato, lakini yeye mwenyewe hacheui. Huyo si safi kwenu"


Nimesoma biblia yote sijaona sehemu ambayo Yesu kasisitiza wanafunzi wake au wafuasi wake lazima wabatizwe,isipokuwa nimesoma kwenye Matayo 3:13-17 kuwa Yesu alibatizwa na John mbatizaji kama tohora ya kujisafisha roho

Matayo 3:13-17

3 Kisha Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka mto Yordani ili abatizwe na Yohana. 14 Yohana alitaka kumzuia akimwambia, “Mimi ndiye ninahitaji kubatizwa na wewe, mbona unakuja kwangu? ” 15 Lakini Yesu akamjibu, “Kubali iwe hivi kwa sasa; kwa maana inatupasa kutimiza haki yote.” Kwa hiyo Yohana akakubali.

16 Na Yesu alipokwisha kubatizwa alitoka kwenye maji, ghafla mbingu zilifunguka, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua aka kaa juu yake. 17 Na sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ndiye

Kubatizwa sio mambo aliyoyahubiri Yesu,sio mambo ya msingi au ya lazima kama unavyofiki....
 
1. Agizo la Ubatizo ni La Msingi. Kwakua ubatizo ulitoka Mbinguni.

Mathayo 21:25
Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa wao, wakisema, Tukisema, Ulitoka mbinguni, atatuambia, Mbona basi hamkumwamini?


Marko 1:5
Wakamwendea NCHI YOTE YA UYAHUDI, nao wa Yerusalemu wote, wakabatizwa katika mto wa Yordani, wakiziungama dhambi zao.


Luka 3:12
WATOZA USHURU nao wakaja kubatizwa, wakamwuliza, Mwalimu, tufanye nini sisi?

Mathayo 3:7
Hata alipoona wengi miongoni mwa Mafarisayo MAFARISAYO NA MASADUKAYO wakiujia ubatizo wake, aliwaambia, Enyi wazao wa nyoka, ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja?

Marko 10:39
Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia, Kikombe ninyweacho mimi mtakinywea, na UBATIZO NIBAIZWAO MIMI MTABATIZWA.


Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye MATAIFA YOTE kuwa wanafunzi, MKIWABATIZA kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

Yohana 3:22
Baada ya hayo Yesu na wanafunzi wake walikwenda mpaka nchi ya Uyahudi; akashinda huko pamoja nao, AKABATIZA.


2.Torati alivyoifundisha Yesu ina mambo ambayo mmeyatangua. Soma kwa makini ukurasa mzima wa Mathayo 5. Yesu Mwalimu wa Waalimu Akiifundisha Torati.

Mathayo 5:
17/Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
20 Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
34 lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;

38 Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino;

44Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,


3. Kuhusu ulaji wa nyama ya Nguruwe, hii ni topic ya Peke yake. Manake ina mengi ya kueleza. Nisikuchoshe usome wewe mwenyewe (Mathayo 5).

Q. PIA NIMEWAHI KUSIKIA kua KUKIWA HAKUNA NYAMA NYINGINE , mNARUHUSIWA KULA KITIMOTO KAMA KAMA KAWAIDA.? Je hii ni kweli? Na kama ni kweli ni kiasi gani?
 
Kwani ww ujui mwanamke anafata dini ya mwanaume na kule kwenu unahama kabisa hata ukifa unazikwa kwao na mmeo mambo mengine yanaeleweka but mnaleta humu alafu mengine ni swala la moyo wako ww unasemaje nani hapa anausemea moyo wako?
 
waislam kwa ugaidi,mauaji,ufiraji na utukutu hawajambo..bad enough hata wale waliokolea dini hata usoni tuu unaona walivyo cruel..i hate them
Dah hili shambulizi baya sana hasa katika Uzi kama huu ambao hauhitaji mashambulizi,mkuu kwa hakika tungekuwa tunaishi jirani hakika maisha yasikuwepo either kwangu au kwako coz hizo itikadi zako ni habari kwa ustawi wa jamii yetu yenye mchanganyiko wa dini mbalimbali lakini kwa kuwashambulia wenzio wa dini nyingine kisa tu labda ushawahi kusikia au kuona muislamu kafanya jambo kama hilo ndo awabatize wote aisee,Be careful coz maisha haya ukiyapa nafasi ya hayo unayoyanena hapa then ukayapeleka au ukathubutu kumu attack mtu physically naamini amani itakuwa historia.
 
Ndio umeongea sahihi ndugu .
 

Mkuu kama Yesu kasema hakuja kutengua Sheria(Taurati_= Agano la kale),mbona wakristo wa siku hizi wanatengua sheria!??,mbona mnakula nguruwe,mbona hamtahiriwi,mbona hamsali kama alivyosali Yesu,au livyosli Musa!??

John ndio kambatiza Yesu,John mbatizaji alikata kumbatiza Yesu kwasababu aalimuona Yesu tayari nini mtu mtakatifu,sasa kama ubatizo umetoka mbinguni amekuja nao nani!? Yesu au John mbatizaji...

Jibu)Uislam ni dini iko wazi kwa kila kitu,kweli muislamu ameruhusiwa kula Nguruwe kama hamna chakula chengine cha kula,ili kunusuru maisha ya yake!,..,

kumbuka Nguruwe ni mnyama alieumbwa na Mungu kama wanyama wengine sema ana kasoro zake ambazo ndio zimefanya isiwe vizuri kwa mwanadamu kumla

Ukweli uharamu wa nguruwe umeelezwa kwenye agano la kale kwa kina kuliko kwenye Kuran,kwenye Kuran haikuelezwa sababu za kwanini wanadamu wamekatazwa kule Nguruwe,..

kwenye Agao la kale imeelezwa sababu za kukatazwa mwanadamu kule nguruwe,lakini nashangaa kuwa wakristo wa leo ndio wanaongoza kula Nguruwe..

Mkuu unajua kwanini Yesu alisema:- " Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino"..
unajua wakristo mnasoma Biblia msitari mmoja mmoja,bila ya kujua madhumuni ya kisa chenyewe..

Mkuu umeweka mistari mbingi ya biblia mambyo haiko kwenye hii topic...sasa sijui unaisomaje Biblia,sijui unaisoma kwa kuifahamu unachagua mistari unayoipenda na kuisoma..
 
Upendo wa dhati hauna dini.

Sijapata majibu hadi leo hii kati ya mkristo na muislamu ni nani hakubaliki kwa Mungu?

Mungu sio mbaguzi
Muislam ndio anayetambulika kwa mungu mmoja tu
 
Shoga usibadiri Dini.mwanamke kweli hana Dini lakin ana imani...watamka ndoa ni rahis kwao na talaka ni raisi kwao kutamkwa.
Hii tafsiri kaileta nani?, mwanamke sio binadamu?
 
Na swala la kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile je lina taratibu gani kwenye uislamu?
Kwani kwenye Ukristo kumwinglia mwanamke kinyume na maumbie kuna taratibu gani Mkuu,!??Hivi sasa tunashuhudia ndoa za jinsia moja zinafungwa kwenye Makanisa kila siku huko Ulaya,hasa Kanisa la Aglikan

Uislam kama unamwingilia mke wako kinyume cha ndoa,ndoa imevunjika,hamna ndoa hapo..,ni Haramu,..

katika kitabu cha Kuran hakuna sehemu iliyosema wazi wazi kuwa ni haramu lakini ziko aya za Kaumu Lutt,yaani watu wa Lut walionakamishwa na Mungu kwa maovu yao waliyokuwa wakiyafanya kwa kuingiliana kiyume cha maumbile,Aya hizo ni mafunzo kwa wanadamu kuwa jambo hilo sio jema na Mungu hapendi..

Surat al-Qamar:, 33-36,imeeleza kisa hicho cha hawa watu wa Lut(Lot),lakini agano la kale vile vile kuna kisa cha hawa watu wa Lut
 


Naomba utembelee hiyo link hapo chini maulamaa wenzako watakuelewesha uujue uislam
Muslim scholars agree that Mohammed sodomized child Aiysha
 
Kama unataka ushauri kweli hapa haupo naona wengi wanachangia kishabiki tu!ila kama unataka kubadili dini kwaajiri yandoa usibadili maana uisilam hautambui hilo.pia nakushauri usome kwanza uislam,usiongopewe kuwa nikitabu chaajabu ajabu wanakuongopeeni ili musiujue ukweli wa hizi dini.pia kuna watu wanasema eti mukigombana tu talaka,hiyo pekeyake inamaana huioni propaganda hapo?mh kwahiyo hakuna ndoa za kiislam zinazodumu?kwahiyo mume au mke ni mzinzi ubaki nae tu?talaka zinatolewa hadi kanisani na mahakamani.pia kwa maelezo yako inaonekana tayari mumeshakutana kimwili nahuyo mtu, uislam hautaki ndoa ya hivyo ndio maana nikakuambia usome kwanza.haikatazwi asie muislam kuusoma uislam.nakusaidia lingine kutengana pia ni talaka.ndoa ya muislam na mwanamke asie muislam ipo lakini inahitaji mume awe naelimu ya uislam.narudia usibadili dini kwaajiri ya mume.wakati hauna imani na dini hiyo.ziada ndoa za kiislam na zakikristo zinazodumu na zenye furaha ni zakiislam, fanyeni risach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…