Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Wanaamini Yesu pia ni 'Mtume wa Mungu'. Cha ajabu hawafuati mafundisho yake! Na wakati mwingine kumkejeli! Kwao neno 'Mtume' sijui wanalichukuliaje! Ushauri kwa dada yetu, kama kweli ulibatizwa na kuelewa ubatizo ni nini, na unaelewa ndoa ni nini, basi chagua kati ya kumkana Yesu au ndoa ya kiislam ya kubahatisha! Amua mwenyewe!
 
unakaribia kuijua kweli tatizo roho ya upotoshaji bado inakushikilia, ipo siku utaijua kweli kamili. jioni njema mpendwa
Karibu kaka,tuko pamoja,nasoma biblia kila siku,,,,Mungu alimleta Yesu kuwaokoa wana wa Israel tu sio bibadamu wote Matayo 15:24 "“Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.”

Yesu alipowatuma wafuasi wake wakahubiri Injili mjini,aliwambia msiende kuhubiri kwa kila mtu nendeni kwa wana wa Israel tu.. Matayo 10:5-15

Nakuwekea mistari wa 5 mpaka wa 7 nini biblia inasema kuhusu Yesu na alikuja kwa ajili ya kina nani,-..

Matayo 10:5-7:-

5) Yesu aliwatuma hawa kumi na wawili, akawaagiza, “Msiende kwa watu wa mataifa wala msiingie mji wo wote wa Wasamaria.

6) Bali waendeeni kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea.

7) Na mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa mbinguni umekaribia

Karibu katika dini ya ukweli,dini isiobagua,dini ya kiislamu
 
YOHANA 1:1-3
HAPO MWANZO KULIKUWAKO NA NENO, NAYE NENO ALIKUWAKO KWA MUNGU,NAYE NENO ALIKUWA MUNGU. HUYO MWANZO ALIKUWAKO KWA MUNGU. VYOTE VILIFANYIKA KWA HUYO WALA PASIPO YEYE HAKIKUFANYIKA CHO CHOTE KILICHOFANYIKA.
YOHANA 1:14
NAYE NENO AKAFANYIKA MWILI AKAKAA KWETU, NASI TUKAUONA UTUKUFU WAKE, UTUKUFU KAMA WA MWANA PEKEE ATOKAYE KWA BABA, AMEJAA NEEMA NA KWELI.
 
ndugu kemea hiyo roho ya upotoshaji itakukosesha kumuona MUNGU. jioni njema
 
Badilisha dini sababu kuu umeona hio njia si sahihi lakini sio kwa ajili ya ndoa
 
ndugu kemea hiyo roho ya upotoshaji itakukosesha kumuona MUNGU. jioni njema
Sasa mkuu unataka kuniambia kitabu chako cha imani yako kinapotosha!?mimi nakuwekea mistari ya Biblia,nimekwambia mimi nasoma sana Biblia na kuifahamu

Matayo 10:5-7:-
5) Yesu aliwatuma hawa kumi na wawili, akawaagiza, “Msiende kwa watu wa mataifa wala msiingie mji wo wote wa Wasamaria.

6) Bali waendeeni kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea.

7) Na mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa mbinguni umekaribia

Kwa maana hiyo Yesu ni mwokozi wa wana wa Israel Tu...Mimi na wewe Yesu hatuhusu...
 
Umetoa hoja ya msingi saana Mkuu, mi mwenyewe ni muislam teena alielelewa kwenye misingi ya Imani lakini tukija kwenye suala la kua na mwanamke zaidi ya mmoja staki kusikia na siwezi kufanya hivyo japo sijaoa.
 
Umefahamu nini hapo,Je kuna sehemu yeyote Yesu aka Isa aka Iso aka Yoshua kasema yeye ni Mungu niabuduni!??
 
Kutoka katika imani yoyote ile na kusilimu ni jambo jema kabisa.
 
Olewa kama roho na nafsi yako imeridhika. Mwisho wa siku ndoa inatakiwa iwe na furaha. Au siyo faida yake itakuwa nini kama ikitokea na umeolewa na RC mwenzio lakini hauna furaha?
 
 
If you read all these comments inaonesha DINI ni very powerful thing!

Wote mmefungwa na dini!

Wote mnaogopa dini zetu!

You people are in captivity!

When will you ever learn to use your own brain to think for yourself instead of some stupid sentences written by a group of Jewish or Arabic old naive,stupid and selfish men telling you what to think and do?

Kama unafuata dini you will never be a free man on this planet!
 
I do respect your belief (of whether the is no God or whatever), but was it necessary for you to insult and offend the faith of others ?

and you think of yourself as a intelligent person? just because you don't believe in God ? and that you're free ?

trust me, you aren't.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…