Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Umetoa hoja ya msingi saana Mkuu, mi mwenyewe ni muislam teena alielelewa kwenye misingi ya Imani lakini tukija kwenye suala la kua na mwanamke zaidi ya mmoja staki kusikia na siwezi kufanya hivyo japo sijaoa.
Kuoa wanawake wengi ni njia moja ya kuwasitiri wanawake...
 
mbinu ya kuwavuta wengi kwenda kwao na binti akitoka upande wao kwenda kwingine watamtumia mapepo na majini hadi akome
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umenikwaza saana ila nimecheka
 

Hahahahaaa

Nimetukana nani?

Na nani amekwambia mimi nina 'faith'?

Sina faith mkuu!

Kipi nilichosema ni cha uongo?Kiseme ili tujue my post was wrong!

Im intelligent just like you.Do you think Im dumb?Or you think you are dumb?We are all intelligent with varying inteligence levels.Na haina uhusiano wowote na takataka linaloitwa dini!

Dini ndio imetukanwa,hujatukanwa wewe,nini kinakuuma kama sio inherent behaviour ya chuki hizo dini zimewaambukiza?

Wewe unaweza muua mwanadamu mwenzio akisema "Yesu Ni Mpumbavu"!..Yaani unaua mtu mwanadamu mwenzio anaemtukana mtu ambae infact hamna mwenye proof kama ali-exist kweli,na mtu mwenyewe hana mahusiano yoyote ya kindugu na wewe!Cha ajabu ndugu yako uliezaliwa nae tumbo moja akitukanwa humsaidii chochote!

Siamini dini yoyote wala any figure head,nipo free,sipangiwi cha kufikiri,nafikiria kwa kutumia ubongo wangu,najua mazuri na mabaya sio lazima nikasome eti kitabu walichoandika wanadamu wenye mioyo mibovu kama yangu ili nijue cha kufanya!

Dini ni kifungo,thats true!

Kama unabisha basi andamana mkuu!Ruksa!Nchi huru hii!
 

Huyo shemeji yako ni msaliti kama vile msaliti yoyote, usihusishe tabia ya mtu binafsi na dini! Nashuku uwezo wako wa ku reason.
 
Mungu awe na mtoto ambae ni Yesu ili iweje!? Hana hiyo shida. He is complete. Kwanza ni dhambi kuanza kumuwazia mambo kama hayo!
 
Usikariri lugha ya picha. Hakuna kitu kinachokatazwa katika ndoa kwa waislam kama taraka. Ni ukosefu wa elimu ndio maana unaona watu hukimbilia taraka.
Mkuu kwa hii hoja yaako popote pale ulipo nasema ubarikiwe saana.
 
Dah! Nimejifunza mengi kupitia uzi huu, mojawapo ni kuna vitu vya kuomba ushauri na vingine ni kuamua mwenyewe kutokana na nafsi yaako.
 
Kuacha ndoa kwa ajili ya dini huo ni ujinga. Badili tu
 
Kama mwanamke hana dini kwa nini binti wa kiislamu akiolewa na mkristo waislamu wanamtenga?
 
mimi meogopa kubadili.
1.talaka
2.kupigwa
3.eti mwanaume ni Mungu wako wewe ni kijakazi wake.
4.eti hata ukiwa kwenye hedhi au kuumwa utafute njia ya kumtimizia mume wako so unampa tigo au halafu akikuforce hashtakiwi wala nini haki.
5.eti wewe hurusiwi kuongea kitu kupinga kitu yeye na ndugu zake ndio wapangaji.
6.watoto na mama wao wapo tu.
so mimi ht kama anahela nakila kitu nimeghairi
 
Acha upuuziiiiii baki na dini yako utakuja kujutaa mbeleni waislamu sisi ni wepesi kutoa talaka sijui wanafanyaga kwa misifa au ??

Tunasababisha masingle mothers kitaa.
 
Wewe na dini yako hiyo ya wasooona usidanganye watu hapo na vimistari vyako hivyo. Kwanza chimbuko la dini yako ni ukatoliki ilivoundwa ili iwashinde jews. Tokaa
Soma hapa: Wagalatia 3:29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.
 
Acha upuuziiiiii baki na dini yako utakuja kujutaa mbeleni waislamu sisi ni wepesi kutoa talaka sijui wanafanyaga kwa misifa au ??

Tunasababisha masingle mothers kitaa.
ni kweli
 
Lakini wapo walio badili dini na kifo ndio kiliwatenganisha.
Naona umeangalia -eV zaid.
 
Waislamu wanaujua ukweli nina jua kuwa ndoa nyepesi sana kuipata kwa mwislamu but hata kutemana ni simple hivyo hivyo.Uwe makini mno.Pia wewe si mkatoliki umebeba jina tu otherwise ungembadilisha wewe.
 
Huja mpenda tu basi dadaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…