Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Hivi dada ukigundua ana ukimwi pasipo shaka saa hii ukakimbilia Angaza ukapima ukakuta hujaambukizwa utawndelea kusema unampenda? Nahisi utakuwa na jibu fulani hivi. Sasa hicho kinachokufanya usite na kituuliza hakina tofauti na ukimwi
 
hahahaa ndio haki elimu
 
Bahati Nzuri unafahamu baadhi ya side effects za huko unakotaka kukimbilia. Nilidhani Uu mjinga sana.
Nakushauri Acha kukurupuka ndoa. Wanaume wa Imani yako ni wengi sana. Tazama huko.
 
katika uislamu hakuna taifa au kundi la watu ambalo limetukuzwa zaidi kuliko wengine. mbele ya uislamu kila mtu/taifa lina haki sawa na wengine. hakuna taifa au kundi la watu lililo juu ya wengine.

Mbona moja ya nguzo tano za Uislam ni kwenda Macca Saudi Arabia na isiwe kwenda taifa lolote iwe ni nguzo ya Uisla kama nchi zote ni sawa,usitudanganye,wakati picha tunaiona kweupe!
 
Dini zote zinatokana na Ibrahimu(radhiyallahu annu= Radhi za mwenyezi mungu zimfikie),Ukatoliki ni dini gani?!,nani mtume wa dini inayoitwa Katoliki,kama umekusudia "Roman catholic" jina linajieleza wenyewe,..

Je Roman Catholic ni dini iliyoletwa na Yesu,Je Yesu aliwambia wanafunzi na wafuasi wake kuwa anayoyahubiri ni ukatoliki!!?,

Mimi sijaongeza chochote isipokuwa nimeweka mistari kutoka katika BIBLIA,Au unapinga maandiko ya BIBLIA!!??kama hupingi sasa hasira za nini!!??

Je Ugalatia ni kitu gani!!,

Mkuu mimi ni mwislam dini yangu inafata mafundisho ya Ibrahim,ya Musa,ya Daudi,ya Isa(yesu) na ya Muhamad
 
Mbona moja ya nguzo tano za Uislam ni kwenda Macca Saudi Arabia na isiwe kwenda taifa lolote iwe ni nguzo ya Uisla kama nchi zote ni sawa,usitudanganye,wakati picha tunaiona kweupe!
Makka ndio uislamu ulipoanza,ndio kuran ilipoteremshwa,Makka ndipo baba wa dini zote IBRAHIMU alipojenga nyumba aliyoamrishwa na Mungu(Alkaba),waislamu wa dunia nzima wanatakiwa waelekee kwenye nyumba hiyo pale wanaposali,,..
 
Nashukuru umethibitisha kua nchi zote siyo sawa
 
Ujui ulichokiandika. Labda kama lengo lako kuanzisha uzi lilikua ni kufikisha huu ujumbe pekee, kamuulize vizuri aliyekudanganya.
 
Ujui ulichokiandika. Labda kama lengo lako kuanzisha uzi lilikua ni kufikisha huu ujumbe pekee, kamuulize vizuri aliyekudanganya.
hivi hujui jinsi ya kumuacha mtu unayempenda kwa moyo hivi unajua kuwa sio rahisi kuanza mwanzo hivi unajua kuwa kuwa mpweke ni mbaya hivi unajua ni ngumu kumsahau mtu anayekupenda kwa moyo ni ngumu kufuta kila kitu kirahisi tu labda hujawahi kupata mapenzi ya kweli .
hujawahi kudekezwa hujawahi wewe so usiongee upuuzi kisa ni dini yakoo .
umenielewa
 
wayaaaaaaaaa""" asante
 
Utakapo ngundua umri umeenda na hujapata wa kukuoa uje unichek pm nikuweke ndani, lakini mimi naabudu ng'ombe
ha haha haaa ..jambazi akili zako sometimes bwana
 
Ujui ulichokiandika. Labda kama lengo lako kuanzisha uzi lilikua ni kufikisha huu ujumbe pekee, kamuulize vizuri aliyekudanganya.
Hawajui nini uislam unasema kuhusu mke na vipi mwanamme anatakiwa amuenzi na kumtunza mke wake,..

sheria moja inayonifurahisha katika haki ya mke ni pale mwanamme wa kiislamu anapomwacha mke akafanye kazi,,,

Sheria inasema kama mkeo anafanya kazi basi mshahara anaopata kazini ni wake,na wewe mume lazima umsaidie mke wako katika kile unachokipata kazini,lakini yeye mke hana ulazima wa kukupa wewe mume kile anachokipa(mshahara) kazini...

Dini zote nilizosoma duniani hamna hata dini moja iliyompa uhuru mwanamke kama hivi,hakika uislam ni dini ya Mungu
 
Makka ndio uislamu ulipoanza,ndio kuran ilipoteremshwa,Makka ndipo baba wa dini zote IBRAHIMU alipojenga nyumba aliyoamrishwa na Mungu(Alkaba),waislamu wa dunia nzima wanatakiwa waelekee kwenye nyumba hiyo pale wanaposali,,..
Quran iliteremshwa au iliandikwa na wanadamu??
 
wafia dini "" nawaona mnavyoburuzana"" dini zimewafnya kuwa watumwa wa fikira"" mmekubali kuburuzwa tu'' bila yakujua kuwa mnatumika kuwanufaisha watu""

poleni sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…