Mkuu hapa tumezungumzia kukeketwa ("woman mutilation")unajua dini wa uislam na ukristo imepishana sehemu ndogo sana,hizi dini zimepishana kweye "Trinity",Pale wakristo walipo mfananisha Yesu na Mungu ndio hapo hizi dini zilipotafautishana,.
Yesu kafanyiwa jando(circumcision) biblia inasema hivyo,waislam wanafanyiwa jando(circumcision),uislam unasema hivyo,kuhusu wanawake kuketwa(woman mutilation) sio kitabu cha Yesu wala Muhamad kilichoruhusu hicho kitu
Turudi kwenye hoja,kama nilivoandika hapo mwanzo kuwa makabila jamii ya wafugaji ndio wanafanya hichi kitendo cha kukeketa kwa wanawake zao,lakini katika tafiti zangu nimeona kuwa kuna kabila moja jamii ya wafugaji(Nilotic) wao badala ya kuvikeketa vin*mbe wao wanavivuta viwe virefu,hawa ni lile kabila na Kitutsi la Burundi na Rwanda..
Katika kutafuta sababu kwanini haya makabila yanafanya hivyo kwa wanawake zao,yamenijia mawazo kuwa makabila ya wafugaji wanaume wanaweza kutoka wakenda kufuga kwa muda mrefu sana,sasa kuzuia wanawake wasiwe na hamu ya tendo la ndoa,wameamua kuwafanyia hivyo wanawake zao...haya ni mawazo
Dini ya kiislam haina madundisho ya wanawake kukeketwa,dini ya kiislam kuna mafundisho vipi mwanamme anatakiwa amuingilie mwanamke(mke) na vipi mwanamke amfururahishe mumewe kwenye tendo la ndo