Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Heri ya nane nane wakuu
Ebana,nimepokea kesi moja hapa mezani kwangu ikimhusu jamaa yangu flani hivi.
Kesi yenyewe iko hivi,jamaa ameoa hawa totoz wa mjini na kamzalisha two kids za kiume.umri wa shemeji ni 30+ kwa kumkadiria but shemeji yeye pigo zake akiwa home huwa ni skin tight tu na mavazi mengine ya hasara hasara,jamaa anasema keshamuonya sana shemeji kuhusu kuvaa mavazi ya hasara mbele za watoto wake wa kiume ambao wote wana miaka chini ya 10 lkn shemeji haelewi.
Sasa jamaa ananiambia usiku huu karudi home kamkuta shem kapiga tight moja inambana sio poa afu yuko na watoto wake wa kiume wanacheck tamthilia bila wasiwasi.
Jamaa kamuita chumbani kamwambia avae kanga ila shem kanuna?
Je imekaaje hii issue wakuu?
 
Screenshot_20240307-224001_Quora.jpg
kama hii au?
 
Back
Top Bottom