Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

Unashangaa nyumbani nilishuhudia familia baba, mama na binti zao wawili wote wamevaa skin jeans kanisani St Albans 😂😂Makanisa ya kilokole nayo wanasema Mungu haangalii mavazi anaangalia moyo, ukiangalia nguo walizovaa Kama rijali lazima upate taaabu kidogo

So ni suala la utamaduni zaidi wazungu wanaogelea na bikini mbele ya watoto wao kwetu huku haijakaa sawa
 
Tanzania Ni Mwiko Kabisa Kuvaa Tights
Mbele Ya Watoto
 
Familia hiyo inakaa wapi, mama kuvaa bikini mbele ya kijana au unasemea Uwoya na Krish
 
Binafsi vazi langu official nikiwa nyumbani ni tight(zile ndefu) na tshirt kubwa kubwa....sijazoea kuvaa dera/gauni wala sketi fupi

Napitia comments kwa umakini sana kuona kama ni sawa ama sio sawa
Na wewe uko na watoto wa kiume wakubwa?
 
Mkuu unasali wapi, ambao hawavai mavazi ya hovyo ni
1)Waislamu wote
2)Wasabato
3)RC
waliobaki tight Kama zote na hapo ni kanisani home kwao itakuwaje?
 
Back
Top Bottom