basi tako lipo hahahahaBinafsi vazi langu official nikiwa nyumbani ni tight(zile ndefu) na tshirt kubwa kubwa....sijazoea kuvaa dera/gauni wala sketi fupi
Napitia comments kwa umakini sana kuona kama ni sawa ama sio sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi tako lipo hahahahaBinafsi vazi langu official nikiwa nyumbani ni tight(zile ndefu) na tshirt kubwa kubwa....sijazoea kuvaa dera/gauni wala sketi fupi
Napitia comments kwa umakini sana kuona kama ni sawa ama sio sawa
Kama kawararaa reree mamboo
Kitu sijawahi kosa ni kalio AKA Taccobasi tako lipo hahahaha
Hivi unajua au ngoja nisijingizeeI miss you too Sweety ake..!
anamaanisha nini huyu anavyosema tightI miss you too Sweety ake..!
Kujua nini mpenziHivi unajua au ngoja nisijingizee
Hapo feel free kufurahia upepo mwanana kwanza Dar jotoooHapo hata kichupi poa tu
Unaoa lini??tuvae suti?? Fupi tusherekeeKama kawa
Sijakuelewaanamaanisha nini huyu anavyosema tight
Weka picha tuone ndio tuta judge vizuriHeri ya nane nane wakuu
Ebana,nimepokea kesi moja hapa mezani kwangu ikimhusu jamaa yangu flani hivi.
Kesi yenyewe iko hivi,jamaa ameoa hawa totoz wa mjini na kamzalisha two kids za kiume.umri wa shemeji ni 30+ kwa kumkadiria but shemeji yeye pigo zake akiwa home huwa ni skin tight tu na mavazi mengine ya hasara hasara,jamaa anasema keshamuonya sana shemeji kuhusu kuvaa mavazi ya hasara mbele za watoto wake wa kiume ambao wote wana miaka chini ya 10 lkn shemeji haelewi.
Sasa jamaa ananiambia usiku huu karudi home kamkuta shem kapiga tight moja inambana sio poa afu yuko na watoto wake wa kiume wanacheck tamthilia bila wasiwasi.
Jamaa kamuita chumbani kamwambia avae kanga ila shem kanuna?
Je imekaaje hii issue wakuu?
'tight' ni vazi gani mbona kuna utata hapoSijakuelewa
Kasema skin tight'tight' ni vazi gani mbona kuna utata hapo
Kama mmezaliwa na kudinda hapo hapo ije kuwa hiyo boobs sijui na nyashVitoto vya chini ya miaka 10 vinajua hata nyashiii,,, au boobs…😂😂😂😂😂
Aah inategemea na maadili aliyotoka huyo msichana kama amezoea kuvaa hivo kubadilika haraka haraka ni ngumu ampe muda akimsisitiza kubadilika itasaidiaHeri ya nane nane wakuu
Ebana,nimepokea kesi moja hapa mezani kwangu ikimhusu jamaa yangu flani hivi.
Kesi yenyewe iko hivi,jamaa ameoa hawa totoz wa mjini na kamzalisha two kids za kiume.umri wa shemeji ni 30+ kwa kumkadiria but shemeji yeye pigo zake akiwa home huwa ni skin tight tu na mavazi mengine ya hasara hasara,jamaa anasema keshamuonya sana shemeji kuhusu kuvaa mavazi ya hasara mbele za watoto wake wa kiume ambao wote wana miaka chini ya 10 lkn shemeji haelewi.
Sasa jamaa ananiambia usiku huu karudi home kamkuta shem kapiga tight moja inambana sio poa afu yuko na watoto wake wa kiume wanacheck tamthilia bila wasiwasi.
Jamaa kamuita chumbani kamwambia avae kanga ila shem kanuna?
Je imekaaje hii issue wakuu?
namna hiyo!View attachment 3064842kama hii au?
ndo ipoje hiyo😅Kasema skin tight