Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

Kesi kama hii nililetewa na mama mmoja hivi mke wa mzee mmoja rafiki yangu.akanitumia meseji.
"Hivi sheikh ni sahihi kwa baba wa familia kukaa na singlend sebuleni kukiwa na watoto wake wa kike?"😂😂.
Nikasema ehee mapya haya
 
Binafsi vazi langu official nikiwa nyumbani ni tight(zile ndefu) na tshirt kubwa kubwa....sijazoea kuvaa dera/gauni wala sketi fupi

Napitia comments kwa umakini sana kuona kama ni sawa ama sio sawa
Wala usikonde, upo sawa kabisa. Kwanza umenikosha, nimeipenda staili yako. Natamani ungekua wangu ila ndio hivyo tena, asiye bahati habahatiki.. 😌😌😌
 
Mke yuko kwake, hayuko uchi, kavaa tight, Dera, fulani ndefu BILA CHUPI, khanga bila chupi, YOTE KHERI...
YUKO KWAKE! APATE HEWA MWILI UPUMUWE, ANIPE ASHKI MUME!
MGENI AKIJA MAVAZI YATABADILIKA, WATOTO HAWANA SHIDA...
 
Kama kumuonya na hasikii basi huyo sio mke wake
Kwakifupi huyo jamaa yako uzuri unamchanganya ndio maana kashindwa kufanya uamuzi.
Unamaana kua mkeo lazima umuonye akisikilize mkuu,sio ???!!!
 
Back
Top Bottom