Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

Namnukuu Mwl Nyerere,aliwahi pelekewa kesi ya wanawake wamevaa mini skirt,wakidai wako nusu uchi,akawauliza tatizo hapo liko wapi?nyie mlioona au yeye aliyevaa...Tatizo lipo kwenye mindset ya mtazamaji na si mvaaji...
Mf India wanaachia vitovu nje hakuna shida,arabuni Mtu akiona tu nywele ni shida...
Wazuli na Eswatini chuchuz zinaachwa nje kabisa na hakuna shida....
Zamani enzi za 90s ulikuwa ukibahatika kuona nguo ya ndani ya mtoto wa kike ni kama umeshamtafuna tayari
 
Mimi tu nikionaga mdada kavaa taiti kitumbua kimevimba,hadi sasa sijawahi kujikontroo kuona ile sehemu,wengine hadi pale paluingiza panakua panaonyesha kashimo,aisee... inasimama hatari.Huyo mama ajiheshimu basi,anawafedhehesha watot😵na kitumbua cha mtu ambaye siyo ndugu yako,na siyo ndugu yako.
 
Binafsi vazi langu official nikiwa nyumbani ni tight(zile ndefu) na tshirt kubwa kubwa....sijazoea kuvaa dera/gauni wala sketi fupi

Napitia comments kwa umakini sana kuona kama ni sawa ama sio sawa
Kama mpo wawili tu, ni sawa
Kama kuna wengine, hasa wa kiume, basi si sawa
Hata wakike... Kuvaa hivyo mbele ya wengine wa kike... Unawapa mazoea na kuona ni kawaida... Siku wakivaa wao mbele ya shemeji/baba/kaka/binamu yao (mume wako) basi usipanic
 
Taboo ni neno ambalo linamaanisha kitu ambacho kinachukuliwa kuwa kimepigwa marufuku au kinachukuliwa kuwa kibaya na jamii fulani. Taboo zinaweza kuwa za aina nyingi, kama vile:

• Taboo za kijamii: Hizi ni sheria zisizoandikwa za jamii ambazo zinatawala jinsi watu wanapaswa kuishi na kuwasiliana. Mfano, ni taboo kuzungumza vibaya wazee katika jamii nyingi.

• Taboo za kidini: Hizi ni sheria ambazo zimewekwa na dini fulani, na zinahusisha imani na mazoea ya kidini. Mfano, ni taboo kwa Waislamu kula nyama ya nguruwe.

• Taboo za kitamaduni: Hizi ni sheria ambazo zimewekwa na utamaduni fulani, na zinahusisha mila, mazoea, na imani za kitamaduni. Mfano, ni taboo kwa watu wengine kuvaa nguo fulani katika maeneo fulani.

Taboo zinaweza kuwa na athari kubwa kwa watu, kwa sababu zinaweza kuathiri jinsi wanavyoishi maisha yao, jinsi wanavyoingiliana na wengine, na jinsi wanavyoona ulimwengu.

Taboo zinaweza kutofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine, na hata kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Kitu ambacho kinaweza kuwa taboo katika jamii moja, kinaweza kuwa halina maana katika jamii nyingine.

Hapa kuna baadhi ya mifano ya taboo:

• Taboo za ngono: Katika jamii nyingi, ngono nje ya ndoa, ngono na watu wa jinsia moja, na ngono na watoto ni taboo.

• Taboo za chakula: Katika jamii nyingi, kula nyama fulani, kunywa pombe, na kula chakula katika maeneo fulani ni taboo.

• Taboo za lugha: Katika jamii nyingi, matusi, maneno mabaya, na maneno yanayohusiana na dini ni taboo.

• Taboo za mavazi: Katika jamii nyingi, kuvaa nguo fulani, kuonyesha mwili, na kuvaa nguo za rangi fulani ni taboo.

Taboo zinaweza kuwa ngumu sana, na zinaweza kubadilika kwa muda. Ni muhimu kujua na kuheshimu taboo za jamii ambayo unapatikana.
 
Back
Top Bottom