Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Mkuu vipi tight yako inaonyesha kitumbua kilivyovimba?Binafsi vazi langu official nikiwa nyumbani ni tight(zile ndefu) na tshirt kubwa kubwa....sijazoea kuvaa dera/gauni wala sketi fupi
Napitia comments kwa umakini sana kuona kama ni sawa ama sio sawa