Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Well said, utakua umeoa wewe! Na ndoa Yako itakua na Amani, huwezi kukubali mwanamke akulishie family, NEVER EVER, ukikubali Hilo kosa umeisha.
 
Mkuu we have different views, kwetu hakuna hayo mambo kila mtu anapambana na hali yake ndo maana napata wakati mgumu kuelewa kwanini watu wanapenda kuwa so dependent kwa wengine. I just can't. But to each their own.
Sio suala la kuwa dependent ni utaratibu wa kawaida tu... kwa hiyo familia ikiwa kubwa inabdi wote mchongeshe funguo??
 
Well said, utakua umeoa wewe! Na ndoa Yako itakua na Amani, huwezi kukubali mwanamke akulishie family, NEVER EVER, ukikubali Hilo kosa umeisha.
Kabisa mkuu....Ukikubali tu kugawana majukumu yako basi kubali na kupoteza sehemu ya haki zako la sivyo utaandika kila aina ya mada humu kuhusu wanawake. Ts nature, ukipata hapa kubali kupoteza pale.
 
Kabisa mkuu....Ukikubali tu kugawana majukumu yako basi kubali na kupoteza sehemu ya haki zako la sivyo utaandika kila aina ya mada humu kuhusu wanawake. Ts nature, ukipata hapa kubali kupoteza pale.
Baba atabaki kuwa Baba, nafasi ya Baba haiwezi kuwa compromised hata siku moja, huwezi kumpangia majukumu salary ya mkeo, akipenda afanye kwa Upendo wake tu na si vinginevyo.
 
Yupo sahihi

Habari ya mlevi kurudi saa 6 usiku hlf uamke kufungua mlango inakera sana

Ukirudi kitandani mwenzio anakoroma wewe unahesabu mabati mpk asbh
 
Hapo kaaga asubhi natoka naenda kutafuta pesa,anarudi kalewa,

Hii hapana,
Rudi hata na "kifuniko Cha Asali" au hata kilo ya sukari basi, aagh ana haki ya kugomewa kufunguliwa, Mimi nachelewa Kurudi na nafunguliwa kwa bashasha, nakaribishwa dining, nanawishwa mikono, nakaribishwa msosi, anaombea msosi then naandaliwa Maji ya kuoga aagh tukifika chumbani, anasali na ananiombea ndio tunalala
 
sio suala la kuwa dependent ni utaratibu wa kawaida tu... kwa hiyo familia ikiwa kubwa inabdi wote mchongeshe funguo??

Ndiyo. Kila mtu mzima in the household lazima awe na ufunguo wake. Mbona ni jambo rahisi tu na linaokoa nguvu na muda.

Mwenye ufunguo akitoka inamaana hamuingii ndani au mnavunja mlango?
 
Baba atabaki kuwa Baba, nafasi ya Baba haiwezi kuwa compromised hata siku moja, huwezi kumpangia majukumu salary ya mkeo, akipenda afanye kwa Upendo wake tu na si vinginevyo.
Kabisa. Na ukishaoa mke ana hofu ya MUNGU na ambaye kipato ulichonacho ni kingi kwake na kinabaki, nakwambia baada ya MUNGU na wazazi utafata wewe mume wake. Tena wazazi utakuwa na sauti kuliko wao ni vile mzazi ni mzazi huwezi taka kuvimba kuliko yeye, unakuwa humble.
 
Wengi wanaochangia ni kama hawana ndoa na kama wameoa/olewa, ni wale waliozaliwa kuanzia mwaka '92, unaona kabisa wamejawa na Ubeijing
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo message imekaa kidharau dharau flani hivi.eti kuepuka usumbufu, inamaana mtu kurudi nyumbani kwake akagonga mlango ni usumbufu?
Washa makofi huyo akili ikae sawa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha bas yeye ulimuoa akufungulie mlango acha kumchosha Kama ume mshindwa toa namba waungwana wamuondolee uchovu uho maana we hujui kupenda af unaonekana Kama mtu wa kanda ya ziwa ?
Itakuwa ndiyo hivyo tena mkoa wa Mara!
 
Unachelewa ukiwa wapi tuanzie hapo! Mke naye binadamu anahangaika na watoto nyumbani kutwa nzima basi angalau apumzike kidogo, yaani upo kupiga vyombo kama mtoa mada halafu mke akae tu kwa sebule akusubilie kukufungulia mlango kweli? Daa hii sio kabisa .
 
Kuchoka kawaida kwa binadamu ila lugha aliyoitumia inafikirisha kwa kweli![emoji848]
 
Kwa mm naona mwanamke anakosea mumeo kaenda kutafuta alafu uwambie unachoka kufungua mlango kwanza unapata wapi ujasili wakulala bila kumuona mumewako kama ameludi salama sema kunashida nyingine apo ndani yake
 
[emoji23][emoji23] Wewe sema usemayo na ujibu ujibuvyo tu hayaja kufika [emoji1787][emoji1787], japo kila ndoa au wana ndoa wanaishi kwa mipangilio yao na matakwa yao LAKINI heeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…