Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Yupo sahihi, huo muda ni wa kukaa na mkeo ndani, we upo bar unapiga vyombo, kisha mwenzio akiwa kapumzika ndio uanze kumsumbua akufungulie mlango

WE KUWEZA?
Halafu mpaka mwanamke anaamua kulala hiyo itakuwa ni kuanzia kwenye saa 4 usiku na kuendelea
 
Nawahurumia wanawake wanaotegemea 100% of their needs from their husband. 99.9% watakuwa wanateseka na kunyanyasika sana
Hawateseki, wanapenda. Hakuna mwanamke asiyependa ulinzi 100%, mavazi 100%, matibabu 100%, Kupendeza 100%, burudani asilimia 100% n.k

Huwa wanaomba MUNGU amfanye mwanaume awe tajiri halafu awe wake peke yake na yeye atamuhudumia mahitaji yake.

Na sisi tunataka huduma gani zaidi ya kula vizuri, ngono na uzao wetu uwe na malezi mazuri?
Sema sasa na sisi wanaume tukishakuwa nazo za kutosha wakati mwingine tunawapa sababu ya kujuta kututegemea.
 
Nasema hata baba yangu sijawahi ona akitembe na funguo na either mama au sisi tulikuwa tunamfungulia mlango ila alikuwa harudi saa 8 za usiku... hii case mwanaume anarudi saa 2 sasa why mwanamke asifungue mlango??
Wapi kaandika anarudi saa 2?
 
Ashukuru katumiwa ujumbe.
Ingekuwa mie ningemkabidhi asubuhi tunapoachana.

Akitoka kwenye starehe zake ajifungulie mlango. Unless rafiki yako hana vidole????

Otherwise mke sio BUTLER wa kumsubiri BWANA MKUBWA ARUDI KWENYE POMBE ZAKE AMFUNGULIE
 
Kwanza angalia hata muda uliyotuma. Bado uko Bar unakunywa!!!
 
Mambo si hayo[emoji8]

MTU anarudi ananuka pombe tu,

Halafu hakuna kitu inakera kuamshwa aisee


Nahisi yatanishinda.
 
Hajui hata niko wapi nafanya nini?

Wanawake wako hivi ndugu, mazoea unayowapa ndio yatafanya wakuulizie uko wapi. Wakiona ni bingwa wa kukesha nje na wakati mwingine wakikuuliza ugomvi unaanza, wanajikalia kimya. Hebu jaribu kutokuwa predictable, leo unawahi kesho unachelewa, and ukiulizwa unajibu kistaarabu uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…