Mkuu wewe na shemeji mnakula sana, mtu na mke kula nyama kilo moja na ndizi nne ni chakula kingi sana, na hapo mtakuta na bia mlikunywa piaMkuu,
Kama wewe ni mwanaume na unauliza hili swali,basi nakusikitikia sana.
Yani unashangaa mtu kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au tatu? Watu wawili mkila nusu hamshibi.
Juzi nilienda pale Kilimanjaro Pub kijichi na shemeji yako kula kitimoto nikamwambia jamaa aandae kilo Moja na ndizi nne katika portion ya nusu nusu kwa kila mmoja na Kila mmoja alimaliza.
Una tumbo la mtoto wa miaka mitatu?
Kwa waafrika ni wachache wanaozingatia..Hio elimu ya Kula mlo kamili watu waliisoma darasani kufaulu mitihani na sio kunitumia kwenye maisha ya kila siku,,ndio maana wabongo wengi huwa wanapinga asilimia 95 ya anachosema Professor JanabiKwa wiki mtu mmoja hatakiwi kula nyama zaidi ya nusu kilo
Mlo inategemeana na kipato chako, mazingira, mazoea na ujazo wa kiingiacho na kipokeacho. Nusu kilo ya nyama uijuayo haifiki nusu ndugu, nusu inayosemwa ni mara nyingi kbl haijapikwa. Mimi binafsi nile ndizi 5 na nusu kilo plus fanta orange ya kopo nakuwa fresh, upo nyonyo?Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Nguruwe ni RED meat. Kuku ndiyo unaweza kusema siyo red meat.Kama ni kiafya,,Kwani anakula mara ngapi Kwa wiki? Maana nyama ya nguruwe sio red meat kama ya ng'ombe..
Hapana..Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?