Ni sahihi mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo peke yake akamaliza?

Ni sahihi mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo peke yake akamaliza?

Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Nusu tu! Mi namaliza kilo na ndizi nne.Tutafute hela aisee
 
Back
Top Bottom