Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Tatizo unalinganisha kitimoto na maharage.Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Mambo holoholoKiafya haushauriwi kula mara kwa mara nyama ya kitimoto.
poa mzima.Mambo holoholo
Mzimapoa mzima.
nusu!???,mbina mi niliwahibmaliza kilo peke yangu,kitimoto roast na ndizi nne na bado nikashushia maji makubwa ya baridi si unajua tena pilipili yakutoshaHili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Ela yangu isigusweHili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
😂😂😂😂😂Mimi huwa ninakula kitimoto kilo mbili na ndizi 3 huku ninashushia na kinywaji baridi
Nusu kilo ya kitimoto ni ulafi?Ni ulafi tu , ndio maana unakuta mtu anatumbo kubwa kama gunia unashangaa🚮
changamoto sana humu jukwaani jina limekaa kama vile ndiye mtenda ubaya wa jf nzima yaani limekaa kama vile ni la kijana wa hovyo, na mbaya zaidi kila mfano mbaya rejea ni holoholo. Nipumzike na mzigo huo rafki yangu.Mzima
mbona umebadilisha jina
Mimi sio mlaji madam🤣Nusu kilo ya kitimoto ni ulafi?
Tena ukoikausha inakuwa chache sana
Acheni masihara jamani .
Mimi siwezi kula nusu maana huwa inanichefua kadiri ninavyoendelea kula,ila si kwamba nusu ni nyingi sana.
Kwanza wauzaji wanapiga sana. Sijawahi kukuta scale ya kupimia kitimoto. Huwa wameshakata tayari na kuzitenga kwa kiwango cha nusuHili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?