Pork ni red meatKama ni kiafya,,Kwani anakula mara ngapi Kwa wiki? Maana nyama ya nguruwe sio red meat kama ya ng'ombe..
Pork ni red meatKama ni kiafya,,Kwani anakula mara ngapi Kwa wiki? Maana nyama ya nguruwe sio red meat kama ya ng'ombe..
Robo nyama na robo nyingine minyoo na mayai yake (mabuu)Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Huwenda una bakteria hatari kapime kwanza kabla Trichinella na yersinia hawajaanza kukuchezesha kindumbwe ndumbwe 😁😁😁🏃🏃Mimi ni ke na kitimoto nusu na ugali pale city pork sishibagi.
Huhitaji hata kwenda huko....Hebu muulize Yule robot mjibu maswali ChatGpt atujuze kama nyama ya nguruwe ni white au red meat??
🤣🤣🤣Mr Devil 👿 👿Ndogo sana iyo
Nutritional Benefits of PORK MEATHili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Inategemea unaishi mkoa gani!Mkuu wewe na shemeji mnakula sana, mtu na mke kula nyama kilo moja na ndizi nne ni chakula kingi sana, na hapo mtakuta na bia mlikunywa pia
Hata somalia kwenye vita na njaa Kuna watu wanavitambi na matumbio makubwa 🥑Ni ulafi tu , ndio maana unakuta mtu anatumbo kubwa kama gunia unashangaa🚮
Hiyo nusu na ndizi kwangu ni Starter.Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Yoda huwa nakuheshimu ila kwa hapa umechemka mzeeMkuu wewe na shemeji mnakula sana, mtu na mke kula nyama kilo moja na ndizi nne ni chakula kingi sana, na hapo mtakuta na bia mlikunywa pia
Kwan nusu ya kwenye mzani sawa na Ile iliyokaangwa?Kwa wiki mtu mmoja hatakiwi kula nyama zaidi ya nusu kilo