Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 1,297
- 860
Zile si zinaondolewa mafuta sana, zile nazogeza kilo moja na nusu.Mimi ni ke na kitimoto nusu na ugali pale city pork sishibagi.
Zile si zinaondolewa mafuta sana, zile nazogeza kilo moja na nusu.Mimi ni ke na kitimoto nusu na ugali pale city pork sishibagi.
Kuna watu wana mishipa ya kulaYuko vizuri.
Mixed meat yaani kwenye nyeupe ipo pia kwenye nyekundu ipo🤣🤣Hebu muulize Yule robot mjibu maswali ChatGpt atujuze kama nyama ya nguruwe ni white au red meat??