Ni sahihi mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo peke yake akamaliza?

Kuna changamoto nimeiona sehemu nyingi wanakopika kitimoto hawauzi robo.
 
Inategemea, kwangu mimi kama rost nakula nusu kilo na ndizi 2, kama kavu nakula kilo1 na ndizi 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…