Ni salamu gani ya kabila unayopenda hapa Tanzania?

hata hilo la idadi ya hayo yanayoitwa makabila ni uongo mwingine mkubwa, kwanza mengi ya yanoyoitwa makabila wala siyo makabila kwa maana halisi ya kabila, wengi hata wanauhusiano na wanasikilizana lugha ukiachia tofauti ndogo sana, defination ya kabila ni makundi mawili tofauti yenye lugha, mila na tamaduni tofauti, sasa ukichukuwa hiyo defination utagundua makabila tanzagiza ni machache sana na hayawezi kufikia 100.

kuna makabila yamewekwa kundi moja kama kabila moja lkn hawasikilizani baina yao na wala hawana lugha moja ya kuwaunganisha ni chaos tupu, hiyo ndiyo tatizo ya historia yetu kuandikwa na foreigners, tulipaswa tufanye utafiti wetu upya na kupanga upya ...
 
kuna makabila yamewekwa kundi moja kama kabila moja lkn hawasikilizani baina yao na wala hawana lugha moja ya kuwaunganisha ni chaos tupu ...
Wazee wa kupinga kila kitu
Tupe mfano wa hayo makabila angalau tuone mzee wa ford foundation
 
hata hilo la idadi ya hayo yanayoitwa makabila ni uongo mwingine mkubwa, kwanza mengi ya yanoyoitwa makabila wala siyo makabila kwa maana halisi ya kabila, wengi hata wanauhusiano na wanasikilizana lugha ukiachia tofauti ndogo sana, defination ya kabila ni makundi mawili tofauti yenye lugha, mila na tamaduni tofauti, sasa ukichukuwa hiyo defination utagundua makabila tanzagiza ni machache sana na hayawezi kufikia 100.

kuna makabila yamewekwa kundi moja kama kabila moja lkn hawasikilizani baina yao na wala hawana lugha moja ya kuwaunganisha ni chaos tupu, hiyo ndiyo tatizo ya historia yetu kuandikwa na foreigners, tulipaswa tufanye utafiti wetu upya na kupanga upya ...
Tumia hii fursa kusahihisha historia na tafsiri za neno kabila.

Amandla...
 
Back
Top Bottom