Ni salamu gani ya kabila unayopenda hapa Tanzania?

Wazee wa kupinga kila kitu
Tupe mfano wa hayo makabila angalau tuone mzee wa ford foundation

hivi unafahamu kwamba mengi ya ya yanayoitwa makabila hayakuwepo au niseme wao hawakujiita hivyo kabla ya foreigners kuja? mfano “kabila” la wanyamwezi, kabla ya biashara ya caravan ya utumwa na pembe za ndovu, caravan iliyoyotoka kongo kupitia unyanyembe (tabora) wakazi wa hilo eneo hawakujiita wanyamwezi, walipewa hilo jina na waarabu sababu ya kazi ngumu walioimudu ya kubeba pembe za ndovu waarabu wali wa-admire wakawaita watu wa ktk mwezini wanyamwezi ikakuwa ikazoeleka wakati huo hizo ndiyo kazi pekee zilizokuwepo hivyo watu wengi walijiita wanyamwezi ili wapate kazi ya kubeba pembe za ndovu ndiyo likazaliwa kabila la wanyamwezi lkn before hawakujiita hivyo hata ndiyo maana kuna msemo mzigo mzito mpe mnyamwezi hiyo ndiyo asili ya huo msemo pamoja na neno mshenzi ni wale wabeba pembe za ndovu warabu waliwaita washenzi kwa mambo ambayo warabu wao hawakuyapenda wakayaita ya kishenzi, lkn watu wa hilo eneo wana asili ya uganda na unyarwanda walihamia hapo unyanyembe lkn hawakujiita wanyamwezi bali walibatizwa hilo jina na waarabu.

ukija kwa wagogo vivyo hivyo wagogo wa leo hawakujiita hilo jina kabila la wagogo bali caravan ilipita hilo eneo na lilikuwa na changamoto na magogo mengi ndipo jina lilipotokea, nchi nzima ni hivyo …
 
Lemme tell u bro Nyamwezi is light sukuma.. tunawasikia wakiongea sijui historia zinasema nn hiki🤦🏽‍♀️
 
Wasukuma+wanyamwezi+wanyantuzu+wadakama= wanyamwezi tu hao wote, pia wandengereko+warufiji+wamatumbi= wandengereko tu hao maana hawana tofauti, pia Waluguru+wakwere+wazaramo+ wakami+ wakutu hao wote ni wa moja hakuna tofaut, na bado kuna makabila mengi yanafanana . Ni kweli hiyo 120 idadi ya makabila haiwezi kufika
 
Back
Top Bottom