dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
KabisašHapo tumemhurumia kwasabu mi sio mweupeš kwa wa ntuzu angetoa 30
KabisašHapo tumemhurumia kwasabu mi sio mweupeš kwa wa ntuzu angetoa 30
-Wangoreme,wakwaya, waseweta, hao wote naona ni wakuryahata hilo la idadi ya hayo yanayoitwa makabila ni uongo mwingine mkubwa, kwanza mengi ya yanoyoitwa makabila wala siyo makabila kwa maana halisi ya kabila, wengi hata wanauhusiano na wanasikilizana lugha ukiachia tofauti ndogo sana, defination ya kabila ni makundi mawili tofauti yenye lugha, mila na tamaduni tofauti, sasa ukichukuwa hiyo defination utagundua makabila tanzagiza ni machache sana na hayawezi kufikia 100.
kuna makabila yamewekwa kundi moja kama kabila moja lkn hawasikilizani baina yao na wala hawana lugha moja ya kuwaunganisha ni chaos tupu, hiyo ndiyo tatizo ya historia yetu kuandikwa na foreigners, tulipaswa tufanye utafiti wetu upya na kupanga upya ...
Ndo hivyo we endelea nae, Mjusi sinaga mambo mengi nipo ukutani nawazoom tu.Eenh! enh! enh!
Kwamba kwenye hawa kumi mnaongeza na wengineHuyo ni kakaake bado wajomba mbona utakomašš
Si ndioš na hatuishii hapo tu..Kwamba kwenye hawa kumi mnaongeza na wengine
Ndina mbesa š¤£š¤£š¤£yana maanisha una dharau sana š
Dah kaka futa haraka sana hii mwali asione š maana umepiga nje kabisa huku kwenye benchi la ufundi badala ya kulenga goliNdina mbesa š¤£š¤£š¤£
Kaandika nini hiki nitafsirieššDah kaka futa haraka sana hii mwali asione š maana umepiga nje kabisa huku kwenye benchi la ufundi badala ya kulenga goli
Hiki kichina nahisi šKaandika nini hiki nitafsiriešš
AnyelileshišHiki kichina nahisi š
Kipenzi Chako sio Msukuma ila napenda kisukuma, bahati mbaya sikukijua vizuri kukiongea zaidi ya salamu tu "wadelah mbhola"....' ginehe ngosha'".Kipenzi Changu unaitwa huku.
Enhee.. ginehe mayuš