Ni salamu gani ya kabila unayopenda hapa Tanzania?

Ni salamu gani ya kabila unayopenda hapa Tanzania?

Nahaya gekhee… nale ng’wanikhe jizuguma kwanza😂😂😂

Kumbe wakukaya nyandone😅
Nimekulia mwanza, nimeishi igoma,nyasaka na nna ndugu upande wa mama kwa mama yake ni wasukuma hivyo huwa najua maneno machache tu 😁
 
Back
Top Bottom