sauti nzito
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 171
- 234
- Thread starter
-
- #341
Huwezi kupiga miziki ya injili tu njia nzima masaa kumi na mbili afu uko hapa unatusumbua kudai mifano ya maudhui inayopendwa na watu wote🤣🤣.Nakutoa kwenye mada kivipi, em taja maudhui moja tuu inayotizamwa na kila mtu acha maneno mengi.
Naogopa kutaja majina ya kampuni ili nisiwe nawapa watu promo za bure, au nikataja wenye mifano mibaya nikawa naua biashara za wengine walizotumia muda mna nguvu kuzifikisha hapo zilipo.Abood ndo wamejitofautisha zaidi ila sio kwa Shabiby
Waambie waandike kwenye matangazo kuwa kwenye hii gari tunataka watu wanaopenda injili tu au kaswida tu🤣🤣.Unataka waweke nyimbo zipi? Wakikukera acha kupanda buses zao
unatuona wote kama matako yako sio hatujawahi kupanda ndege🤣🤣?Yeah ila unaweza ulizia kwa cabin crew kabla ya kupanda, uhakika wa hiyo huduma kama upo.
My property my terms, take it or leave it.
Je wale wanaopigiwa kelele na kwaya na hazana majumbani mwao wafanyeje?
Ndiyo ilivyo, sina shida ya kuandika simply because it can never be your terms on my property. Unataka ku-impose uyatakayo kwenye properties za watu, anza kusafiri kwa gari lako binafsi kwani hakuna anayekulazimisha kupanda mabasi ya watu.Andika onyo kabla ya kukata tiketi kama hiyo property yako hujapanda na baba yako tu🤣🤣
😎maoni yako tumeyaona, na uwezo wako kuchangia hoja tumeuona, ila nakufundisha tu kuwa bus tunazoziongelea ni private property iliyosajiliwa kutoa public service kwa masharti ya kutoa huduma bila ubaguzi wa aina yoyote(kidini, kikabila, kijinsia na kutakiwa na sheria kujiepusha na ubaguzi wa aina yoyote)🤣🤣Ndiyo ilivyo, sina shida ya kuandika simply because it can never be your terms on my property. Unataka ku-impose uyatakayo kwenye properties za watu, anza kusafiri kwa gari lako binafsi kwani hakuna anayekulazimisha kupanda mabasi ya watu.
Hauna tofauti na mtu atakayelalamika basi likiwa na picha za timu ya Yanga au za timu ya Simba ilhali basi linapakia abiria wa timu tofauti.
Tolerance inapokuwa abused ndo tatizo linaanzia hapo🤣Mimi hata mtu akapiga qaswida mwaka mzima hainitatizi so long as najua imani yangu ipo wapi.
Religious tolerance nadhani ni muhimu tukaelimishana.
Hakuna abuse ya tolerance mkuu kama unayo unayo tu.Tolerance inapokuwa abused ndo tatizo linaanzia hapo🤣
It's not fair kutafuta tolerance ya mtu for twelve hours or more, una nafasi ya kutokumkwaza kwanini umkwaze afu utake awe mvumilivu?
Umbumbumbu wako ni wa kiwango cha kustaajabisha, hapo hakuna mtu aliyezuiwa kupanda bali choices na preferences zako ambazo ni haki yako ndicho kinachokusumbua or rather ndicho kitakachokusumbua. It's the same like umepanda basi unastuka hakuna charging ports au hakuna air conditioners au hakuna seatbelts au hakuna wastebasket hivyo some will definitely be irritated and some will be just fine.😎maoni yako tumeyaona, na uwezo wako kuchangia hoja tumeuona, ila nakufundisha tu kuwa bus tunazoziongelea ni private property iliyosajiliwa kutoa public service kwa masharti ya kutoa huduma bila ubaguzi wa aina yoyote(kidini, kikabila, kijinsia na kutakiwa na sheria kujiepusha na ubaguzi wa aina yoyote)🤣🤣
Umeelewa??
Hakuna abuse ya tolerance mkuu kama unayo unayo tu.
Sio kitu cha kutafuta na toc
😀angalau nimeelewa kidogoHakuna abuse ya tolerance mkuu kama unayo unayo tu.
Sio kitu cha kutafuta na tochi.
utaahira wako ni kushindwa kutoa hoja yako bila kushambulia character ya mtu usiemfahamu hata kidogo🤣🤣. Na huna ufahamu wowote wa chochote🖕🖕Umbumbumbu wako ni wa kiwango cha kustaajabisha, hapo hakuna mtu aliyezuiwa kupanda bali choices na preferences zako ambazo ni haki yako ndicho kinachokusumbua or rather ndicho kitakachokusumbua. It's the same like umepanda basi unastuka hakuna charging ports au hakuna air conditioners au hakuna seatbelts au hakuna wastebasket hivyo some will definitely be irritated and some will be just fine.
Tatizo ni kwenu religious fanatics mnadhani issues ni kwaya au kaswida tu hapo ni kwamba you've just exposed your religious fanaticism and your lack of reasoning capabilities.
We mama hii ni jamii forums, mijadala inaibuka ili ijadiliwe na itoe majibu chanya kwa pande zote, wewe kwavile imeguswa interest yako umekuja hapa kama umebakwa ukijidai uko neutral😀 English nyingi haina mchango wa maana umetoa sanasana umefanya mashambulizi.Umbumbumbu wako ni wa kiwango cha kustaajabisha, hapo hakuna mtu aliyezuiwa kupanda bali choices na preferences zako ambazo ni haki yako ndicho kinachokusumbua or rather ndicho kitakachokusumbua. It's the same like umepanda basi unastuka hakuna charging ports au hakuna air conditioners au hakuna seatbelts au hakuna wastebasket hivyo some will definitely be irritated and some will be just fine.
Tatizo ni kwenu religious fanatics mnadhani issues ni kwaya au kaswida tu hapo ni kwamba you've just exposed your religious fanaticism and your lack of reasoning capabilities.
Noted mkuu, umetisha😀Hakuna abuse ya tolerance mkuu kama unayo unayo tu.
Sio kitu cha kutafuta na tochi.
nini?NI SAWA
Matako ya mama yako.utaahira wako ni kushindwa kutoa hoja yako bila kushambulia character ya mtu usiemfahamu hata kidogo🤣🤣. Na huna ufahamu wowote wa chochote🖕🖕
, unaweza kufikisha hpja bila tusi wala kejeli na ikaeleweka.
Muige user mwenye username ya "stroke"
"MATAKO YAKO"