Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Sawa ni private property ila imesajaliwa kutoa huduma kwa jamii
Sheria zinasemaje kuhusu vifaa vya muziki na television ndani ya usafiri wa umma? Na ukizingatia kuna ambao hawataki kabisa kelele , kuna wagonjwa wasio hitaji usumbufu wa aina yoyote pia?
 
Yeah hii nzuri sana , vipi kuhusu sheria zinasemaje kuhusu hilo?
 
Hata kama ni nyimbo za Injili wajitahidi tu wasiweke za waimbaji wanaoimbia Mbeya, Njombe na Iringa, wale wenye suti za kuteleza na magauni makubwa.
Poor poor poor quality, sauti mbaya, uimbaji kama wanahubiri au wanazungumza na production quality 0.
 
muziki unafariji, unaponya mjuba, hili nalo hujui faida za muziki? Ishu ya maudhui ni kitu kingine
Hoja yangu ni hii: siyo muda wote wa kusikiliza muziki. Pengine hujabahatika kuwa nchi zilizoendelea uone. Wakati wa safari kuna watu wanasoma mambo ya maana. Kuna watu wanatafakari mambo ya maana. Kuna watu wanafanya mawasiliano ya maana. Kna watu hawataki kelele. Kuna wagonjwa yaani kuna watu wenye hali na mood tofauti. Hapo ndipo suala la kujali mwenzako linapoingia. Muziki unaliwaza na kuponya unaposikilizwa kwa wakati sahihi. Ndiyo maana kuna sehemu maalum za muziki. Ndiyo maana vifaa vya kuchezea muziki vina volume adjustment!
 
Kuna mabasi ya mnene mmoja mkubwa nchini wanaweka filamu za maua, milima, mabonde, anga, ardhi, bahari, mito, misitu mwanzo mwisho, picha zinavutia kutazama hazichoshi na hazikeri abiria
Hongera kwake na team yake ya wafanyakazi😎😎😎Umeshase
Kwani ukiwa bar au hata public wakaweka mziki, huwa unachagua nyimbo? Au kadri DJ anavyotaka?
Watu dini mnazichukulia katika hali ya upinzani sana, mtu yupo happy kusikiliza nyimbo ya Nyege-nyegezi ila sio Rose Muhando. Pumbavuuu
ma Bar🤣
Kwani ukisikia wimbo wa injili unapata shida gani
Sitamani kulazimishwa kusikiliza maudhui ya imani nyingine kwenye eneo la umma, pia sitamani mwingine alazimishwe kusikiliza maudhui ya imani yangu kwenye eneo la umma🤣🤣. Zero kabisa wewe jadili mada🤣🤣
 
Hata kama ni nyimbo za Injili wajitahidi tu wasiweke za waimbaji wanaoimbia Mbeya, Njombe na Iringa, wale wenye suti za kuteleza na magauni makubwa.
Poor poor poor quality, sauti mbaya, uimbaji kama wanahubiri au wanazungumza na production quality 0.
Kwanini waweke? kama wanaweka waweke za imani zote🤣
 
Sheria zinasemaje kuhusu vifaa vya muziki na television ndani ya usafiri wa umma? Na ukizingatia kuna ambao hawataki kabisa kelele , kuna wagonjwa wasio hitaji usumbufu wa aina yoyote pia?
Kwa aina ya maisha yetu wasiopenda usumbufu itabidi wateseke tu. Kiuhalisia kama tungekuwa tunajiweza isingetakiwa mtu asafiri zaidi ya km 200 kwa bus, ilitakiwa iwe treni au ndege, kama ni bus iwe kwa ajili ya kutalii na hizi bus za abiria 55-60 zinatakiwa kubeba abiria 40 waweze ku relax kama binadamu, sasa hivi wengi wanasifirishwa kama mifugo.
 
Sasa mtu atajuaje hili bus lina maudhui fulani ndani yake ilhali ni mpaka lianze safari ndiyo wanaweka!!

Waweke angalizo huko kwenye tovuti zao kwamba wao ni kwaya safari nzima au ni kaswida!!
Mimi huwa nasema wabongo wengi kwenye biashara ya kutoa huduma ni sifuri. Hizi ni atahri zinazotokana na siasa ya ujamaa na uadimu wa bidhaa na huduma. Unakuta mwenye basi anajiona yeye ndiye mwenye maamuzi ya kufanya apendacho na abiria ndiyo wanatakiwa kutii. Hii culture imeshajijenga sana kiasi ambacho kuna wajinga wanathubutu kusema ''mwenye basi ndiye mfalme'' badala ya mteja ndiye mfalme.
 
Hata kama ni nyimbo za Injili wajitahidi tu wasiweke za waimbaji wanaoimbia Mbeya, Njombe na Iringa, wale wenye suti za kuteleza na magauni makubwa.
Poor poor poor quality, sauti mbaya, uimbaji kama wanahubiri au wanazungumza na production quality 0.
Kwanini waweke? kama wanaweka waweke za imani zote
Kwani ukisikia wimbo wa injili unapata shida gani
Wewe huna uwezo kujadili hii mada🤣🤣, kaa kimya soma comments za watu wenye akili
Unaelewa maana ya private property?
Wewe kilaza kweli🤣, private property unataka hela ya kila mtu🤣🤣
muziki unafariji, unaponya mjuba, hili nalo hujui faida za muziki? Ishu ya maudhui ni kitu kingine
🤣🤣, nenda muhimbili weka muziki ondoa madocta🤣🤣Ac
Acha uongo, Abood ipi hiyo ulipanda?🤣🤣🤣. Wewe ulipanda bus jekundu ukajua Abood🤣🤣
 
Suruhisho ni kutoliza mziki wowote kwenye gari za uma kama mtu anataka kusikiliza mziki atumie simu yake kusikiliza mziki anao utaka.
Kuna siku nilipanda Shabiby hizi basi zao mpya Yutong D14 zenye screen kila nyuma ya seat

Nikaona wadau ambao hawakupenda yale yanayoonyeshwa kwenye screens kubwa za bus wamechomeka flash zao na earphones wanakula burudani wapendazo

Nafikiri wakurugenzi watuletee mabasi ya aina hii. Kila mtu ana mapendezi yake usitegemee ukaweka kitu kitakachomfurahisha kila mtu.
 
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili
Ungekosoa tu kuweka nyimbo za dini bila kulenga dini fulani maana wote hufanya hivyo. Kuna moja nilipanda, safari nzima inarindima qaswida & co..
 
Wasafiri wengi makapuku na malofa, hawawezi kumiliki flash au earphones/headphones.
 
Wewe kiazi mada yako inaongelea maudhui ya kikristo ila humu ushajisahau,kazi kujichekesha chekesha kama malaya kaona bia🚮
 

Kashasahau hata mada yake
Uko nje ya mada, soma post nzima🤣
 
Wasafiri wengi makapuku na malofa, hawawezi kumiliki flash au earphones/headphones.
Kama no hivo wamiliki waondoe zile screen na spika ambazo kila abiria analazimika kuona na kusikia🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…