Injili maana yake ni “Habari Njema.” Ni habari njema kuhusu upendo wa Mungu kwa wanadamu, ni habari njema kuhusu msamaha wa dhambi na uzima wa milele. Injili ni ujumbe wa matumaini na wokovu kwa wanadamu wote. Hivyo nyimbo za Injili zinagusa maeneo yote hayo. Nyimbo zenye ujumbe wa namna hiyo ni nyimbo za kuchukiza?Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Fanya uchunguzi utagundua za kikristo ndo zimekithiri🤣, si unaona hata wewe hapa imekuvurugaWewe kiazi mada yako inaongelea maudhui ya kikristo ila humu ushajisahau,kazi kujichekesha chekesha kama malaya kaona bia🚮
Hatuendi kwenye bus kutafuta baraka🤣🤣, jadili mada, hata mawaidha ya waislam ni baraka pia. ila kwenye bus ya public sio mahala paleInjili maana yake ni “Habari Njema.” Ni habari njema kuhusu upendo wa Mungu kwa wanadamu, ni habari njema kuhusu msamaha wa dhambi na uzima wa milele. Injili ni ujumbe wa matumaini na wokovu kwa wanadamu wote. Hivyo nyimbo za Injili zinagusa maeneo yote hayo. Nyimbo zenye ujumbe wa namna hiyo ni nyimbo za kuchukiza?
Nyimbo za Injili hutoa pia faraja wakati wa huzuni au changamoto, huleta amani ya moyo na utulivu wa nafsi. Nyimbo za Injili hukuza maadili mema na maisha ya haki.
Mtu anayechukia nyimbo za Injili anajikosesha baraka hizo.
Halafu ni ajabu, wanaochukia kusikiliza nyimbo za Injili, wakiwekewa nyimbo zinazozungumzia mambo ya uasherati na uzinzi, ndio wanakodoa macho zaidi(kama ni video). Nyimbo zinazohimiza dhambi zinachafua roho ya mtu na kumfanya awe mbali na uwepo wa Mungu.
Kwenye bus, ukisikia wimbo wa Injili wenye 'vibe kali' kama huu, mwambie konda/dereva aongeze sauti!!
View attachment 3567273
Injili maana yake ni “Habari Njema.” Ni habari njema kuhusu upendo wa Mungu kwa wanadamu, ni habari njema kuhusu msamaha wa dhambi na uzima wa milele. Injili ni ujumbe wa matumaini na wokovu kwa wanadamu wote. Hivyo nyimbo za Injili zinagusa maeneo yote hayo. Nyimbo zenye ujumbe wa namna hiyo ni nyimbo za kuchukiza?
Nyimbo za Injili hutoa pia faraja wakati wa huzuni au changamoto, huleta amani ya moyo na utulivu wa nafsi. Nyimbo za Injili hukuza maadili mema na maisha ya haki.
Mtu anayechukia nyimbo za Injili anajikosesha baraka hizo.
Halafu ni ajabu, wanaochukia kusikiliza nyimbo za Injili, wakiwekewa nyimbo zinazozungumzia mambo ya uasherati na uzinzi, ndio wanakodoa macho zaidi(kama ni video). Nyimbo zinazohimiza dhambi zinachafua roho ya mtu na kumfanya awe mbali na uwepo wa Mungu.
Kwenye bus, ukisikia wimbo wa Injili wenye 'vibe kali' kama huu, mwambie konda/dereva aongeze sauti!!
View attachment 3567273
Unatetea au unashauri vinginevyo?🤣Muziki wa Injili ni universal hata Kobaz wengi wanaupenda, pia lugha inayotumika ni Kiswahili kila mtu anaielewa. Zikipigwa Ngoma za Joel Lwaga au Israel Mbonyi hata min -me lazima atikise tikise kichwa
universal kwako, usitake kuhalalisha anachofikiria kila mtu kinafanana na unaccofikiri wewe, wewe ni sehemu ya tatizo😊Muziki wa Injili ni universal hata Kobaz wengi wanaupenda, pia lugha inayotumika ni Kiswahili kila mtu anaielewa. Zikipigwa Ngoma za Joel Lwaga au Israel Mbonyi hata min -me lazima atikise tikise kichwa
Huna akili, itoshe kuishia hapo😎Wewe kiazi mada yako inaongelea maudhui ya kikristo ila humu ushajisahau,kazi kujichekesha chekesha kama malaya kaona bia🚮
soma post yote😎😎Ungekosoa tu kuweka nyimbo za dini bila kulenga dini fulani maana wote hufanya hivyo. Kuna moja nilipanda, safari nzima inarindima qaswida & co..
Yeah ni sahihi, lakini kuna akina sisi wa kibegi kimoja cha mgongoni wakati wa safari huwa hatuna muda wa kubeba earphones, flash au Wi-Fi routerWasafiri wengi makapuku na malofa, hawawezi kumiliki flash au earphones/headphones.
Usinipangie pa kuishia 🖕Huna akili, itoshe kuishia hapo😎
Si kweliMuziki wa Injili ni universal hata Kobaz wengi wanaupenda, pia lugha inayotumika ni Kiswahili kila mtu anaielewa. Zikipigwa Ngoma za Joel Lwaga au Israel Mbonyi hata min -me lazima atikise tikise kichwa
Kuna siku nilipanda Shabiby hizi basi zao mpya Yutong D14 zenye screen kila nyuma ya seat
Nikaona wadau ambao hawakupenda yale yanayoonyeshwa kwenye screens kubwa za bus wamechomeka flash zao na earphones wanakula burudani wapendazo
Nafikiri wakurugenzi watuletee mabasi ya aina hii. Kila mtu ana mapendezi yake usitegemee ukaw kitu kitakachomfurahisha kila mtu.
Period😊Kupiga miziki kwenye gari ni kupigiana kelele na kero kwa wengine.
Mle kwenye gari kuna watu ambao afya zao hazina urafiki na makelele lakini utakuta watu wameweka mamiziki tena kwa sauti ya juu.
Suruhisho ni kutoliza mziki wowote kwenye gari za uma kama mtu anataka kusikiliza mziki atumie simu yake kusikiliza mziki anao utaka.
Hebu tuletee sheria hapa mtaalamu uijadili😎.Sheria zinasemaje kuhusu vifaa vya muziki na television ndani ya usafiri wa umma? Na ukizingatia kuna ambao hawataki kabisa kelele , kuna wagonjwa wasio hitaji usumbufu wa aina yoyote pia?
Yeah sio mfuasi wa dini ila kwangu sioni shida kusikiliza maudhui ya dini yoyote mkuu, isipo kuwa kundi la wanaojiita walokole 🚮Muziki wa Injili ni universal hata Kobaz wengi wanaupenda, pia lugha inayotumika ni Kiswahili kila mtu anaielewa. Zikipigwa Ngoma za Joel Lwaga au Israel Mbonyi hata min -me lazima atikise tikise kichwa
🤣🤣zero kabisaUsinipangie pa kuishia 🖕
Yeah sio mfuasi wa dini ila kwangu sioni shida kusikiliza maudhui ya dini yoyote mkuu, isipo kuwa kundi la wanaojiita walokoleAsa
Unamaliza bando lako bure huna akili, download VPN uangalie porno utajurishe wenye akili kama zako🤣🤣🤣Usinipangie pa kuishia 🖕
Bila baraka za Mungu safarini, basi linaweza kuacha njia na kupinduka - watu wakapoteza maisha.Hatuendi kwenye bus kutafuta baraka
🖕Unamaliza bando lako bure huna akili, download VPN uangalie porno utajurishe wenye akili kama zako🤣🤣🤣
Hatupo kwenye post ya kujadili ukweli au uongo au uboro wa injili🤣, rudi kwenye mada punguza mapenzi ya dhati kwenye mambo ya kutumia ajiliInjili maana yake ni “Habari Njema.” Ni habari njema kuhusu upendo wa Mungu kwa wanadamu, ni habari njema kuhusu msamaha wa dhambi na uzima wa milele. Injili ni ujumbe wa matumaini na wokovu kwa wanadamu wote. Hivyo nyimbo za Injili zinagusa maeneo yote hayo. Nyimbo zenye ujumbe wa namna hiyo ni nyimbo za kuchukiza?
Nyimbo za Injili hutoa pia faraja wakati wa huzuni au changamoto, huleta amani ya moyo na utulivu wa nafsi. Nyimbo za Injili hukuza maadili mema na maisha ya haki.
Mtu anayechukia nyimbo za Injili anajikosesha baraka hizo.
Halafu ni ajabu, wanaochukia kusikiliza nyimbo za Injili, wakiwekewa nyimbo zinazozungumzia mambo ya uasherati na uzinzi, ndio wanakodoa macho zaidi(kama ni video). Nyimbo zinazohimiza dhambi zinachafua roho ya mtu na kumfanya awe mbali na uwepo wa Mungu.
Kwenye bus, ukisikia wimbo wa Injili wenye 'vibe kali' kama huu, mwambie konda/dereva aongeze sauti!!
View attachment 3567273
Bima italipa🤣Bila baraka za Mungu safarini, basi linaweza kuacha njia na kupinduka - watu wakapoteza maisha.
Ilitakiwa LATRA watoe tamko hapa kikweli mahudhui ya dini yapigwe marufuku kwenye huduma za usafiri wa ummaPeriod😊
Hebu tuletee sheria hapa mtaalamu uijadili😎.
Usitutoe nje ya mada sana
Muziki wa Walokole na Wasabato kwenye bus ndio unachangamsha sasa, kwaya za Wakatoliki au Qaswida za Kobaz za Kiarabu hazifai kwenye bus sababu hazina vibe.Yeah sio mfuasi wa dini ila kwangu sioni shida kusikiliza maudhui ya dini yoyote mkuu, isipo kuwa kundi la wanaojiita walokole 🚮