Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.

Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania

Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣

Binafsi napenda mabasi ya Usiku yanayozima kila kitu Labda kama kuna tukio la kitaifa au kimataifa linafanyika jioni /usiku. Mtu akitaka kusikiliza sijui BONGO SIHAMI nk anatakiwa awe na headphone
Hata kwa Nchi za wenzetu huwezi kukuta makelele ya sijui kanda bongomani, nk,nk nk kwenye mabasi.
Ukitaka mziki/ Tamthilia nk unavaa headphone unawasha kwenye simu yako au pengine kwenye ki screen chako cha gari. Kila mtu anasikiliza anachopenda mwenyewe....
 
Na uzuri ha
Ni kama zanzibar tu kipindi cha ramadhan hautakiwi ule hadharani hata kama sio muislamu....kuna mtu aliwahi kuleta mada kuhusu azam kuweka movie zenye maudhui ya kiislamu ambazo ni za vita kati ya waislamu na wakristo ila wachangiaji humu walidai kuwa haulazimishwi kuangalia azam tv
hapohapo Azam tv kuna option ya kuchagua kingine usiangalie, post inaongelea kuhusu kulazimishwa kuangalia au kusikiliza kwa sababu hupewi option nyingine🤣

Kwenye king'amuzi cha Azam pia kuna channel zinaongelea dini yako tu muda wote🤣🤣, hajafanya ubaguzi hapo mnataka kumuongiza huku kwa faida binafsi
 
Ajali zinatokea kwenye bus tu??
Huwezi kuangukiwa na nguzo ya umeme barabarani ukafa??
Inaonekana hujaelewa point yangu na mada husika. Mimi nimesisitiza umuhimu wa kusikiliza nyimbo zinazotuweka karibu zaidi na Mungu ili tuwe salama safarini. Nyimbo za Injili zinakaribisha uwepo wa Mungu. Hivyo tukiwa kwenye bus, Mungu akiwa karibu na sisi atatulinda na kutuepusha na ajali.
 
Na uzuri ha

hapohapo Azam tv kuna option ya kuchagua kingine usiangalie, post inaongelea kuhusu kulazimishwa kuangalia au kusikiliza kwa sababu hupewi option nyingine🤣

Kwenye king'amuzi cha Azam pia kuna channel zinaongelea dini yako tu muda wote🤣🤣, hajafanya ubaguzi hapo mnataka kumuongiza huku kwa faida binafsi
Vipi kuhusu zanzibar
 
Kwa mabasi ya usiku huwa natamani wazime kabisa radio/TV kwani wengi wanaosafiri Usiku ni watu wanahitaji utulivPut

Waache kuweka miziki, filamu n.k kwenye mabasi. Wanatusumbua na kutupigia kelele.
Waweke wi-fi na sehemu za kuchaji tu, kila mtu ajichagulie anachotaka kungalia kwenye simu yake.
asante😊
 
huo umuhimu no
Inaonekana hujaelewa point yangu na mada husika. Mimi nimesisitiza umuhimu wa kusikiliza nyimbo zinazotuweka karibu zaidi na Mungu ili tuwe salama safarini. Nyimbo za Injili zinakaribisha uwepo wa Mungu. Hivyo tukiwa kwenye bus, Mungu akiwa karibu na sisi atatulinda na kutuepusha na ajali.
umuhimu ni kwako, sio kwa kila abiria🤣, wengine kwenye hilo bus wanaenda kuzini wake au waume za watu huko wanakoenda🤣
 
Tengeneza post yako ya kujadili hiyo mada ya Zanzibar afu tutaifuata hukohuko na hoja zake😎, hapa tujadili kilichopo kwenye post
 
Dogo upo period? Natengenezaje post wakati nishakueleza hayo mambo yapo potepote
Ukisoma post yote hadi mwisho kwa utulivu utagundua nimeelezea kotekote sijabagua, 😎😎, umeelewa mkuu? tunataka maoni yako, hayo ndo yanayoijemga jamii forum kwa kupokea fikra mbadala bila kudhuriana
 
Majority ni Wakristo na Waislamu, msio na dini nyinyi dini yeu ni upagani na ni minority group
Sasa c unaona bado tunarudi kule kule kuwa Huwez kumridhisha kila mtu, Au hayo magari yamewekwa kwa ajili ya Wakristo na Waislamu tuu?
 
huo umuhimu no

umuhimu ni kwako, sio kwa kila abiria🤣, wengine kwenye hilo bus wanaenda kuzini wake au waume za watu huko wanakoenda🤣
Sasa kama wanaenda kuzini wake au waume za watu, huoni kwamba nyimbo za Injili ndio njia nzuri ya kuwaonya waache uovu huo? Nyimbo za Injili zinahimiza watu kutubu na kuacha dhambi. Kwa mantiki hii, unapaswa kuwashauri wenye mabasi waongeze zaidi nyimbo za Injili badala ya kusema zinakera.
 
Kuna mabasi huwa naona wanaweka bongo movies, movies za mambele, comedy, miziki ya bongo na nje

Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.

Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania

Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Nyimbo za injili zina shida gani?Zinatukana? Zinahamasisha vurugu? Zinahamasisha mauji? Zinahamasisha wizi? Mbona sijawahi sikia mkilalamikia nyimbo za bongofleva zenye maudhui ya ngono zinapopigwa kwenye mabasi?
Wewe kinachokupa furaha kuna mwingine kinamkera and vice versa is true. Haya maisha tunapaswa kuishi kwa kuvumiliana full stop
 
Back
Top Bottom