Ni Sawa umeenda kupima DNA Na ukakuta mtoto sio wako utafanyaje?

Umesema naweza msadia baba asiye mzazi wangu halisi? Maana yake Nina uwezo wa kusaidia na kuendesha maisha yangu Tyr. Akinifukuza ni yeye na atakuwa sawa tu wakulaumiwa ni mama
Sawa mkuu, Na yeye akijua wewe sio mtoto wake akaamua kukutenga na kukufukuza, utajisikiaje?
 
Kama siyo issues za forensic na criminal mara nyingi Mkemia Mkuu wa Serikali hakupi majibu kuwa mtoto si wako hata kama amegundua kuwa siyo mtoto wako.

Serikali haipendi kuwa chanzo cha kuvunja ndoa za watu. Hiyo ndiyo sababu.

Wengi walioamua kuacha wake zao baada ya kugundua kuwa watoto siyo wa kwao, walifanya testing ya DNA nje ya nchi.

All in all kama limetokea unaamini mtoto siyo wako, nashauri ishi naye, mlee ipasavyo ATAKUJA kukusaidia mbeleni kuliko watoto wa kuzaa mwenyewe. Ila UKIMBAGUA ndiyo inakuwa mbaya.
 
We utachukua maamuzi gani?

Ova
 
Ushauri wako ni mzuri ila inahitaji msuli wa Imani

Copied from Ambwene mwasongwe
 
hizi mada zinapendwa sana. sawa ulimkuta yupo hivi
 

Attachments

  • GSwdKrMXsAADOAo.jpg
    172.6 KB · Views: 7
NACHINJA
 
Muda ni kila kitu na hakimu wa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…