Ni Sawa umeenda kupima DNA Na ukakuta mtoto sio wako utafanyaje?

Kwqngu sikuhitaji DNA, nilikutana nae kimwili mwezi wa 8 kwa mara ya kwanza, kumbe ni majamzito (mimba ya miezi kama mitano) halaf sikujua kabisa..

nikaja kumtimua tarehe 1 mwezi wa 12,
akarudi kwao akajifungua tarehe 5 mwezi huo huo!
Kaah ana tumbo zuri miezi mitano mimba haionekani
 
Kaah ana tumbo zuri miezi mitano mimba haionekani
Wapo vibonge hao, tumbo linajificha ndani kwa ndani.

Mimi niliiba mkojo nikaenda kupima bila yeye kujua!

Nilipojua ana mimba halafu ananificha, nikasema acha nizagamue for four months hakafu nimrudishe kwao akapambane na mzazi mwenzie
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sheria ya ndoa inampa haki ya umiliki wa watoto wote walio kwenye ndoa baba mwenye ndoa hio.
Mama akibadilika au mpumbavu yeyeto akijitokeza kudai mtoto ndani ya ndoa unayo haki ya kuwafungulia kesi mke wako na mgoni wako na ukadai fidia kubwa sana wakulipe fidia haina ukomo Ukitaka hata billion 10 wakulipe ndipo uwape mtoto.
Kama mke na mgoni wanazo hizo billion 10 wakupe wachukue mtoto hawana watulie au uamue kupotezea hawataki unayo haki ya kuchukua Sheria mkononi
 
Dunia ni tambala bovu unaishi na mwanadamu chochote tu tegemea toka kwake mtoto wa nje,kusalitiwa,njama za kuuliwa ukiyajua haya ukajiandaa nayo huwezi jitundika kisa mapenzi
 
Safi sana ndio unapata chance mwanaume ya kwenda kuposa kitoto kizuri kinabana kunako hata ndugu au kanisani ukiwaambia huyu mzinzi amezaa hawatamulaani umemuacha vyema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…