Ni Sawa umeenda kupima DNA Na ukakuta mtoto sio wako utafanyaje?

Dhambi ya usaliti ni kubwa hata maandiko hayaisapoti,mtu kuchepuka ni ujumbe wewe umfai we we ni dhaifu.
Mtoto hana hatia kwa upumbavu wa mama yake kushindwa kutunza maandiko.
Kama haujaamua kutulia usiingie kwenye ndoa ota sugu kwanza ufike miaka 45 utakuwa umemaliza ujana wote then ndo uingie kwenye ndoa
 
Maswali yote Yanalindwa na sheria hakuna kitu kipya vyote vilishawekwa kwenye mchukuo wa Sheria.
Kuzaa na mke wa mtu ni kosa kubwa sana kisheria, kiroho na kijamii pia.
 
Kulipwa Hulipwi na mtoto anaenda Kwa baba yake
 
Kama haya yote yalifanyika bila mtoto na wewe kujua basi mtakuwa mmetengeza bond kubwa sana na mtoto kiasi ambacho kuivunja ni ngumu. Yaani uishi na mtoto tangu mtoto mchanga mpaka anafika chuo kikuu halafu uje uambiwe siyo wako? Hiyo bond mtakayokuwa mmetengeza haitavunjika kirahisi. Njia rahisi ya kumkomoa huyo mama (kama alikuwa anajua na kuficha) basi ni kumgegeda huyo mtoto wa kambo.
 
Hakika Tena ulienda Bali sana Kwa kuwapiga mawe Hadi kufa
 
Hakunaga usaliti usiojificha ni suala la mda tu itajulikana tu na lazima utavuna ulichopanda kwa sababu si uliapa madhabauni au ofisini kile kiapo ulichovunja ni lazima tu kitaongea ipo siku
Thus pana watu walichepuka zamani wakaja gundulika na ndoa ikaja kuisha.
Labda tu utubu mapema kabla ya wakati kufika.
Hii dunia hatupo pekee yetu thus huwezi tunza siri.
 
Sometimes hospital kuna watu wanabadilisha watoto na huo mchezo wanafanya manesi kama mtu ana watoto wakiume watupu basi anaiba wakike mwingine anaiba wakiume so kila tukio umepigwa mkuu sometimes matatizo yanaanzia mama anapojifungua.
 
Je akiwa wa kiume? Akikukataa je?

Mkuu hii hutokea kabisa unafichwa mtoto anakuja kuambiwa baada ya kufanikiwa!! Ama kama wewe ni hohehahe mtoto anaambiwa mapema tu baba Ako ni fln ni boss sehem fln
 
Ushirikina huo sasa kumgegeda mtoto
 
Sometimes hospital kuna watu wanabadilisha watoto na huo mchezo wanafanya manesi kama mtu ana watoto wakiume watupu basi anaiba wakike mwingine anaiba wakiume so kila tukio umepigwa mkuu sometimes matatizo yanaanzia mama anapojifungua.
Hii hata yeye hatajua kuwa mtoto huyu siyo wako. Na mtoto hatakuja ambiwa vilevile!. Hii Dunia Ina maumivu Kila kona
 
Sikuhizi watoto wengi si wa ndani ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…