Ni Sawa umeenda kupima DNA Na ukakuta mtoto sio wako utafanyaje?

Hapana walibadirisha heading
Ile ilivyokuwa unasema "moderator anaefuta nyuzi zetu bila kutuambia atakuwa ana mimba changa huyu siyo bure " wakaandika kwanini Uzi wangu umefutwa?πŸ˜†πŸ˜†
Nilikuwepo... Ko saivi wameufungua au?
 
Nakubali
 
hirikina vipi wakati siyo mtoto wako? Huna relation yoyote naye zaidi ya ule u-bond wa baba wa bandia. Najua kisheria kulala naye ni kosa lakini kama unataka kumfundisha huyo mama adabu njia ya kumkomoa ndiyo hiyo.
Ushirikina ni kufanya anything against nature mtoto ana makosa gani dhidi ya upumbavu wa mama yake
 
Hapana walibadirisha heading
Ile ilivyokuwa unasema "moderator anaefuta nyuzi zetu bila kutuambia atakuwa ana mimba changa huyu siyo bure " wakaandika kwanini Uzi wangu umefutwa?πŸ˜†πŸ˜†
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ebu naomba link nikapatembelee tena...
 
Mm nilivyoona tu Ile miguu nikasema huu mguu wa soka ....wangu kabisa midfielder kisheti .........
 
Nifundishe asee Huwa nashindwa hata kuambanisha Uzi fln kwenye bandiko
Kama unatumia mobile app unabonyeza kwenye vidoti vitatu upande wa juu kulia kisha unabonyeza Copy URL, then unaenda kubandika Sehemu husika kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…