Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Dodoma mwish wa matatizo.huwa naona hat singida haina ukame kama ule wa dom.yan dodm kama ipo center
 
Kwa sasa ni zaidi.maji moto imeubgwa na lami ya kutoka tabora mpanda.ni lami tupu unaenda hata na vits bila waswas
 
Huko unyakyusani kuna watu wanakaa huko milimani balaa.
Kupanda huko utadhani unaenda mbinguni.
Ila unakuta kuna kijiji huko juu watu wanaishi hawana habari
 
sasa sehemu kama hiyo ndio njema sana kufika kwa wachaga unafika watu wamelala usingizi unachukua maeneo unajenga unafungua duka.Baada ya miaka mingi wakiamka wanatembea wewe ulishawaacha nyuma sana.
Hebu aise nipe contacts za hapo kwa urahisi kitu cha kwanza nafungua duka la kuuza mafuta ya taa,tambi za taa,maharage,mahindi,nitatoboa lazima
 
Kijiji cha mbagala kizuiani...jaman Kuna kunguni mpaka maji ya visima ukichota unakuta kunguni walidondokeamo.
Kunguni wanatembea msafara barabarani kama siafu
Wanalalaje maana hao jamaa hatar sana
 
Nilipanda mboga mashambani kwenda kuchuma nusura nibakwe na nyani...Sijui zilitaka kunipiga🤨 nilitimuka macho yote nilihamishia mgongoni😔
Ndio nisichokipenda linapokuja suala la ajira za umma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…