Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Mtwara-wilaya ya newala-kijiji kinaitwa mpotola,maji ya kunywa utadhani maziwa,unaoga maji lita moja.ilikuwa mwaka 2007 hiyo,sijui kwa sasa hali ipoje huko.
 
Kutegeruka😁
😁😁😁!!!!!
Eeh mkuu,kwa wakerewe na wakara huko noma sana...Sema wana mazingira poa sana huko ukerewe misitu ya wastani.....Nilikaa mwez mmoja huko nili enjoy sana hasa samaki fresh na zile furu
 
Masagati

MASAGATI


MASAGATI.


AISEEEH NIKIRUDI KULE MNIITE MBWA NIMEKAA PALEEEEEEEEE

Unaweza hisi upo kuzimu...

Hakuna huduma muhimu kwa binadamu,watu wanakula nyama yoyote ilimradi inatoka damu,nyani,kima,ngedere, twende.....

Ngono inafanyika kama mazoezi ya viungo tu,inauzwa kama njugu,mpaka najiuliza kweli kuna UKIMWI duniani!
Hakuna barabara wala umeme wala maji salama...

Mvua ikinyesha hakuna kutoka wala kuingia
 
Mboga za majani Bora kabisa kwangu ni mlenda/ msusa , unafata mchicha , Tembele, Chinese , kabeji ,. .... mboga za majani ambazo sitaki hata kuziona ni kisamvu
Duuhhhh
 
Ndio maana ukiowa mwanamke wa kirangi ni rahisi sana kuhadaika na maisha ya mjini wengi wao wanazaliwa wanakulia kwenye maisha magumu chakula chao kikubwa ni ugali na nsanza ( majani yaliyokaushwa yanakaangwa halafu unatafuna kama karanga)
Yaani Kondoa Nako vijiji hvyo balaa tupu!!umaskini wa Hali zotee asehh
 
I Ihanda & Tubugwe - Kongwa! Picha linaanza hawana Secondary! Mb wao anaonekana krb na Election, anaanzisha MBUNGE CUP .... Kamaliza
Kongwa maskini kupitilizaa
 
Duuu pole saana mkuu kweli ulichoka,,😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 

Mbususu za bure hizo ndo nzuri acha woga wewe
 

Unaizungumzia Tanganyika Masagati?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unaweza kumuua?
 
Kuna kijiji kinaitwa Chilulumo kipo Mko songwe kwa wanyiha huko ni balaa..!! Wanakatana mapanga daily, kuna watu wana roho mbaya kishenzi. Huko ndio kulikuwa na uchunaji wa ngozi za binaadam miaka ya nyuma. Hakuna umeme, barabara mbovu.
 
Kuna kijiji kinaitwa Chilulumo kipo Mko songwe kwa wanyiha huko ni balaa..!! Wanakatana mapanga daily, kuna watu wana roho mbaya kishenzi. Huko ndio kulikuwa na uchunaji wa ngozi za binaadam miaka ya nyuma. Hakuna umeme, barabara mbovu.
Daah huku mahala ni middle of nowhere jamaa wanakunywa maji yale ya rangi ya maziwa ya kwenye mifereji. huku hata miaka elfu ipite sijui km watapata maji ya kunywa meupe
 
Kuna kijiji kinaitwa Mishamo (sijui kama nimekosea) kipo wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi. Nilienda kule mwaka 2018 ila hadi leo nikifumba macho nikivuta picha ya kile kijiji huwa nasema Mungu awalinde tu. Maana siku nafika nilikutana na mwalimu mmoja nikamtania hivi huku mitihani ya NECTA inafika kwa wakati au mnafanya siku mbili mbele?
 
Aisee wee jamaa kweli hujatembea kabisa! Unapashanfaaje Baranga sehemu ya matajiri wa dhahabu na mifugo.
Yaani pale ukilinganiaha na maeneo wanayotaja watu humu pale Baranga si ulaya kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…