muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Mtwara-wilaya ya newala-kijiji kinaitwa mpotola,maji ya kunywa utadhani maziwa,unaoga maji lita moja.ilikuwa mwaka 2007 hiyo,sijui kwa sasa hali ipoje huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh mkuu,kwa wakerewe na wakara huko noma sana...Sema wana mazingira poa sana huko ukerewe misitu ya wastani.....Nilikaa mwez mmoja huko nili enjoy sana hasa samaki fresh na zile furuKutegeruka😁
😁😁😁!!!!!
Wewe utakuwa shabiki wa utopoloUshakaa Mwanga na Same ukaona pa Ovyo? Asilimia kubwa vijiji vyao vina huduma muhimu tokea zamani, kushinda hata Dar es salaam
DuuhhhhMboga za majani Bora kabisa kwangu ni mlenda/ msusa , unafata mchicha , Tembele, Chinese , kabeji ,. .... mboga za majani ambazo sitaki hata kuziona ni kisamvu
Yaani Kondoa Nako vijiji hvyo balaa tupu!!umaskini wa Hali zotee asehhNdio maana ukiowa mwanamke wa kirangi ni rahisi sana kuhadaika na maisha ya mjini wengi wao wanazaliwa wanakulia kwenye maisha magumu chakula chao kikubwa ni ugali na nsanza ( majani yaliyokaushwa yanakaangwa halafu unatafuna kama karanga)
Kongwa maskini kupitilizaaI Ihanda & Tubugwe - Kongwa! Picha linaanza hawana Secondary! Mb wao anaonekana krb na Election, anaanzisha MBUNGE CUP .... Kamaliza
Ndio maana vifupi mkuu ukienda kule forest juu kupitia kwa mkuu wa mkoa hauwambii kitu kule milimaniIlonga je?
Duuu pole saana mkuu kweli ulichoka,,😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Masagati
MASAGATI
MASAGATI.
AISEEEH NIKIRUDI KULE MNIITE MBWA NIMEKAA PALEEEEEEEEE
Unaweza hisi upo kuzimu...
Hakuna huduma muhimu kwa binadamu,watu wanakula nyama yoyote ilimradi inatoka damu,nyani,kima,ngedere, twende.....
Ngono inafanyika kama mazoezi ya viungo tu,inauzwa kama njugu,mpaka najiuliza kweli kuna UKIMWI duniani!
Hakuna barabara wala umeme wala maji salama...
Mvua ikinyesha hakuna kutoka wala kuingia
Masagati
MASAGATI
MASAGATI.
AISEEEH NIKIRUDI KULE MNIITE MBWA NIMEKAA PALEEEEEEEEE
Unaweza hisi upo kuzimu...
Hakuna huduma muhimu kwa binadamu,watu wanakula nyama yoyote ilimradi inatoka damu,nyani,kima,ngedere, twende.....
Ngono inafanyika kama mazoezi ya viungo tu,inauzwa kama njugu,mpaka najiuliza kweli kuna UKIMWI duniani!
Hakuna barabara wala umeme wala maji salama...
Mvua ikinyesha hakuna kutoka wala kuingia
Masagati
MASAGATI
MASAGATI.
AISEEEH NIKIRUDI KULE MNIITE MBWA NIMEKAA PALEEEEEEEEE
Unaweza hisi upo kuzimu...
Hakuna huduma muhimu kwa binadamu,watu wanakula nyama yoyote ilimradi inatoka damu,nyani,kima,ngedere, twende.....
Ngono inafanyika kama mazoezi ya viungo tu,inauzwa kama njugu,mpaka najiuliza kweli kuna UKIMWI duniani!
Hakuna barabara wala umeme wala maji salama...
Mvua ikinyesha hakuna kutoka wala kuingia
Kwenda mpaka chamkoloma kwa walima mahindiI Ihanda & Tubugwe - Kongwa! Picha linaanza hawana Secondary! Mb wao anaonekana krb na Election, anaanzisha MBUNGE CUP .... Kamaliza
[emoji23][emoji23][emoji23] unaweza kumuua?Niliuliza kwanini mnakula mirenda na madagaa kila siku wakati mna ng'ombe na kuku wengi. Nilichojibiwa ni kwamba eti kuku na ng'ombe ni ajili ya kuuzia Watu wa dar wao ni za kulima na kutoa mahali.
Pia nilichogundua jinsi wewe wa mwanza waavyopenda samaki, bukoba wanapenda ndizi na Kaskazini nyama kama chakula chao kikuu Basi na wao Chakula chao kikuu ni mlenda yaani ukimlisha nyama au samaki siku 4 unaweza kumuua mnyaturu[emoji23]
Ugali wao ni mgumu mara elfu ya wasukuma
Daah huku mahala ni middle of nowhere jamaa wanakunywa maji yale ya rangi ya maziwa ya kwenye mifereji. huku hata miaka elfu ipite sijui km watapata maji ya kunywa meupeKuna kijiji kinaitwa Chilulumo kipo Mko songwe kwa wanyiha huko ni balaa..!! Wanakatana mapanga daily, kuna watu wana roho mbaya kishenzi. Huko ndio kulikuwa na uchunaji wa ngozi za binaadam miaka ya nyuma. Hakuna umeme, barabara mbovu.
Kweli wewe wakishua wakati sangasanga ndo sehemu ya kupumzikia kwa watu wa Mzumbe.kuna machaka mengi ya kueleweka japo maji hamnaKijiji cha Sanga Sanga mkoani Morogoro..
Aisee wee jamaa kweli hujatembea kabisa! Unapashanfaaje Baranga sehemu ya matajiri wa dhahabu na mifugo.Habari za muda huu wana JF,
Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya
Mfano, Mimi niliwahi kutembelea Kijiji cha Baranga kata ya Sirorisimba kupitia Kyagata. Nilistajabu na kujiuliza Hawa watu huku wanaishije?
Ukame ndio kwao, maji shida, Hali ya hewa mbovu, jua kali ndio kwao, vurugu Sasa ndio chimbuko lake. Siku moja tulikuwa na mechi ya kirafiki na timu ya Kijiji jirani ile tupo kwenye gari tukashangaa tunaanza kurushiwa mawe barabarani.
Kwa kuwa sisi tulikuwa wageni tuliogopa sana lakini wenyeji wakatuambia msiogope hao wote tutakutana kwenye mnada. Siku nyingine tulikuwa Mnadani Sirorisimba siku hiyo kulikuwa na mgogoro wa mpaka wa shamba kati ya ukoo na ukoo huku polisi wakiwa na mitutu ya bunduki lakini ilivyo ajabu watu wa kule nilishudia wakibebana na kuhamasishana wabebe mishale waende wakaanzishe vurugu.
Wewe ulipita wapi na ulistaajabu nini?